Mkuu wa Majeshi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi atinga kibabe kambi ya Jeshi la Israel lilopigwa na drone za Hezbollah Golan!

hongera sn nyahu mazee dah....myahudi habari nyingine kabisaaaa.....mwarab ni uharo tuu mbele ya myahudii, piga hao kobaz!
 


Si tulikubaliana kuwa huyu ana hali mbaya? Sasa mbona sielewi haya mambo
 
Hizo ni picture/ video za zamani
 
And 100 others
 
Moderator huu uzi nliuona jana humu kwa kiingereza ile nautafuta nicomment siuoni ,mlikuwa hamjaelewa kiingereza cha mtoa mada ?
 
Wavaa kobazi walisema eliminated
 
Umehema weka video achana na picha mnato!
 
Kuna chawa uchwara wa Putin Yericko Nyerere alidanganya kuwa Halevi kauawa na Hisbollah anyway wapi alipo Ismail Kanni? Kamanda wa Quds
Halafu kuna watu wanashinda kununua machapisho yake, ili hali kiakili, kiuchambuzi hayipo huru ni shabiki tu kama mashabiki wengine pia ni propagandist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…