Mkuu wa Majeshi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi atinga kibabe kambi ya Jeshi la Israel lilopigwa na drone za Hezbollah Golan!

Huyu fala nachojua ni kafaaa ..ngoja niwasiliane na watu wa karibu na makazi yake anapokaa wanipe detail za mazishi ,,napicha za live toka msibani naleta hapaa
 
Wavaa kubazi walivyo pasuliwa mabusha full kusema camanda kafa!! Kafufuka sasa.
All the best
 
Dah kuna pisi kali hapo mjeda nimemtamani
Na wenyewe ni binadamu; omba namba tu bro.

Hawa jamaa ukiwatazama vizuri unaona kabisa wana ARI ya kuipigania nchi yao; sina hakika majeshi mengine huaga yapo hivo

Halafu; si kuna uzi humu uko hapa kwamba huyu jamaa aliuawa jana? Kafufuka?
 
Kuna chawa uchwara wa Putin Yericko Nyerere alidanganya kuwa Halevi kauawa na Hisbollah anyway wapi alipo Ismail Kanni? Kamanda wa Quds
inafurahisha sana kuona hakuna anayepinga kwamba kipigo heavy cha kisasa kiliangushwa kwenye hiyo kambi kutoka hezbollah kama mnavyopingaga vipigo vingine vilivyopita,mmeona kujibanza kwa huyo Halevi kisa hakufa

mpk kuzagaa kwa hizo taarifa za yeye kufa kwenye hilo shambulio inaonekana alikuwepo kwenye hiyo kambi mda mchache kabla ya tukio....pengine tu alipata taarifa za hilo shambulio akaona akimbie awaache vijana wadogo waangamie
 
Kwa hiyo kutokuwepo kwa picha mpya ndio iwe kigezo cha kuleta picha za zamani
Mnatumia akili kweli?

Au uongo ndio sehemu ya maisha yenu.
Acha ujinga.

Unaposema hizo ni picha za zamani, na kuna matukio mapya yametokea, kama una akili ulipaswa kuleta hizo picha mpya ili counter attack hizo unazoona ni fake narratives
 
IDF ina askari wa kike warembo, mi nawaomba tu wawaruhusu hao warembo waende likizo, warembo kama hao kuwatandika na mabomu sio vizuri.

Kwel kaka hawa kuwafanya wanajeshi it is a waste of beauty. Ukimuua huyu na bomu unaandikiwa dhambi mara mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…