Mkuu wa Majeshi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi atinga kibabe kambi ya Jeshi la Israel lilopigwa na drone za Hezbollah Golan!

Wanawake wa Kiebrania Tuwape Maua yao.

Kwenye sherehe za Maonesho za makomando Tz huwa hatuoni Wanawake.
Je kweli huwa wanaenda hata Frontline?
 
Magaidi mtaisha maana mziki mnene wa Israel hamuwezi nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…