Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi awasamehe waliofukuzwa JKT, watakiwa kurudi jeshini

Wewe ni kichwa maji
Dikteta Magufuli alikuwa mnyama sana! Baada ya kuwatumikisha watoto wa wenzake bila malipo akaamua kuwatimua. Bila shaka maovu yote aliyotenda mnyama Magufuli yatarekebishwa!
 
Mabeyo namkubali saaana.yaani ananipa rahaa jamani,Wala hakurupuki kufanya maamuzi.
 

===
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kupitia kwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo,

Mhe Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe na kuwarudisha Vijana wote wa JKT waliofukuzwa makambini April 12,2021 kutokana na utovu wa nidhamu "

Hata hivyo kwa bahati mbaya JWTZ ina taarifa kuwa Kijana mmoja kati ya Vijana 854 waliofukuzwa amefariki na walio hai ni 853,

Sasa ni rasmi Mama yetu mnyenyekevu ameagiza Vijana wote 853 warudi makambini,

Asante CDF, Asante Madame President,

Nasisitiza hakuna kama Rais Samia,
 
Mama katisha tena aise daaah,
 
Namuona raisi msaidizi Kabudi katoa hicho pale
 

Hawa vijana waligoma baada ya kukaa muda mrefu bila kupata ajira,ilikua ajira zikitoka wana achwa wao makambini wana ajiriwa ndugu na jamaa za vigogo.
Kwa amri hii ya Rais hawa vijana wanapata ajira au wanarudi kuendelea kujitolea bila malipo yyt ktk makambi ya JKT?
Anaye elewa pls atuambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…