Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi awasamehe waliofukuzwa JKT, watakiwa kurudi jeshini

Acha kupotosha..
Hawa waliondolewa JKT kwa sababu walikuwa wanajenga ikulu dodoma na walikuwa wameshaahidiwa
na Hayati Magufuli watapata ajira siku chache baada ya kifo chake wakapangiwa kambi zingine hivyo
wakaona kama hawatapata kazi na si kuwa walikuwa wanaajiriwa watoto wa wakubwa.
 
Mbona vyombo vingine vya habari vinasema kwa wale waliotumiwa barua za kurudi.. yaan kuna baadhi hawarudi.. tuelewe kipi??
 
embu tupe experience kidogo mkuu .mimi kipindi icho walinipanga pale mujibu sikutaka utani na baridi la Iringa nikawakacha nikaenda kambi nyingine [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kambi zinatisha sio kwa sababu zina mafunzo tofauti hapana ila kazi zilizoko kule 😫

JKT kanembwa, Jkt Mlale (baba lao) na mafinga dah
Hao wote wanajua wanachoenda fanyiwa baridi limepungua kwa sasa ila litawakuta mwezi wa sita lile la kwenye taarifa ya habari matusi yote watatoa
 
Duh nchi ya sanaa kweli hii, mara sifa kwa CDF sasa mmeona no, asidiwe mama!
Humu kuna siku mtu mkewe atapata ujauzito na kusema shukran kwa.mama SSH
 
Ya leo kali

Utambulisho kwa njia ya damu....

Hivi viongozi wa jeshi waliotoa tamko hili nao ni kama Polisi wa Simbachamwene ambao alisema hawahitaji kwenda shule ?
 
Hii nchi haliwezi fanyika jambo na watu wengine ispokuwa samia? Alowasamehe hawa watu ni samia au mabeyo? Mataga mnatumiaga hata nusu ya akili zenu kweli?
 
Hawakupata vyeti vya kuhitimu ujue hilo.
 
Unaweza kutofautisha ulichoandika mwenzio na ulichoandika ww
 
Hawa Ndiyo Wajenzi Wa Ikulu Chamwino Na Walipewa Ahadi Ya Ajira Na Mzilankende
 
Wakati wanafukuzwa si yeye ndie alikuwa rais....au ndio kusema na hao vijana waliutaka urais wake 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…