Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Pumzika kwa Amani Omera, another great Luo has fallen🙏🏿
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I thought soInavyoonekana zilikuwa haziivi hata kidogo, isipokuwa walikuwa wanaishi kinafiki. How dangerous it was!
Hatibu Halahala.Cam
Cameraman never die. We uliskia wapi Cameraman akafa?
Asante kwa ufafanuzi huo, kama hao viongozi wakubwa wa jeshi hawajafa ni mda wao wa kufa haujafika tu ila watakufa tu[Personal Assistant wa Jenerali Ogola ni Major General David Kipkemboi Keter. Dhamira yangu ya kwanza ilikuwa kuangalia kama alikuwa akiandamana na bosi, hakuwepo. General kamili hasafiri na maofisa wenye cheo chini ya Major
Habibu HalahalaHatibu Halahala.
Apumzike kwa amani naona Rutto katangaza.Sina uhakika, ila nadhani ni miongoni mwao
Vipi mama hawezi kumfufua huyo?Ndugu zangu watanzania,
Habari ya kusikitisha kutoka nchini kenya inasema ya kuwa mkuu wa majeshi wa nchi hiyo jenerali Fransis Ogolla amefariki Dunia kutokana na ajali ya ndege.
Tuwaombee wakenya na kuwapa pole sana kwa msiba huo mzito kwa Taifa lao.
Mungu ailaze mahali pema peponi Roho ya marehemu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Acha kufuru.Vipi mama hawezi kumfufua huyo?
Popoma genta,gifted....CDF huyo wa Kenya akiwa amepona Nakunya ( Naukweka ) kutoka hapa Kampala UG nilipo hadi Dar es Salaam TZ Oky?
Nmeipenda hii, ina maana flan hvi na ina... Ila sikia tu kwa watu ombea isikukute wewe ktk cycle yako.tundu lisu alimuita Magufuli dictator uchwara, sasa nimeanza kuelewa alichomaanisha, real dictators lives on, it’s all about timing, usipowawahi, wanakuwahi wao …
Kufuru za nini tena kwako wewe na mama yako?Acha kufuru.
Idiot ni Mama yako Mzazi.Watu wapo serious wewe unaleta utoto wako hapa. Idiot
Inategemea nipo Kampala Uganda wapi na nafanya nini. Na ukijua nafanya nini huku utaanza Kuniheshimu Milele sawa?Wewe popoma mbona unajipromoti sana kuwa uko Kampala wakati huo mji ni kama Makambako tu?
Nadhan hana abcd za aviation, Turboprop kufika futi 25000 ni mtihani sembuse helicopterHiyo helcopter inayopaa futi elfu 30 kenya wameanza kuimiliki lini?
amekufa au???Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani.
Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za awali zinadai ndege hiyo ya Kijeshi ilikuwa imebeba watu 9, na imewaka moto baada ya kudondoka hivyo kutilia hofu usalama wake.
Rais William Ruto ameitisha kikao cha dharula cha Baraza la Usalama wa Taifa.
Taarifa zaidi zitakujia hivi Punde.
Citizen TV
======
A BRIEF BIO OF THE KDF BOSS CDF OGOLLA
Gen Francis Omondi Ogolla joined the Kenya Defence Forces on 24 April 1984 and was commissioned as 2nd Lieutenant on 6 May 1985 and posted to Kenya Air Force
He trained as a fighter pilot with USAF and as an instructor pilot at the Kenya Air Force (KAF).
He also trained in other fields including imagery intelligence, counter terrorism and accident investigation
Gen Francis O Ogolla is a graduate of ÉcoleMilitaire de Paris and National Defence College of Kenya
He holds Diploma both in International Studies and Military Science from Egerton University, a Bachelor of Arts in Political Science, Armed Conflict and Peace Studies (First Class Honors) and Masters of Arts in International Studies from the University of Nairobi
He rose through ranks to become a Major General and appointed the Commander Kenya Air Force on 15 July 2018 a post he has served for three years
Previously he has held various appointments in Training, Command and Staff including Deputy Commander Kenya Air Force, Base Commander laikipia Air Base, Commanding Officer of Tactical Fighter Wing, Chief Flying Instructor at Kenya Air Force Flying Training School and Operations Desk Officer at Kenya Air Force Headquarters
He also served in the former Yugoslavia as an Observer and Military Information Officer from 1992 to 1993, as chairman of Military Christian Fellowship from 1994 to 2004 and co-Chair of Association of African Air Chiefs between 2018-2019
He is married to Aileen, and blessed with two children and a grandson. His hobbies include reading and playing golf.
---
UPDATES
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Luteni Jenerali Francis Ogolla amefariki Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Luteni Jenerali Francis Ogolla amefariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi iliyotokea leo Aprili 18, 2024 baada ya kupaa kutoka eneo la Kaben, Marakwet.
Rais William Ruto ametangaza kifo hicho na kueleza, mbali na CDF Ogolla aliyechukua nafasi hiyo Aprili 28, 2023, wengine waliokuwa kwenye Helikopta hiyo ni Maafisa kadhaa wa Jeshi ambao nao wamepoteza maisha.
Rais Ruto alimpandisha cheo Luteni Jenerali Francis Omondi Ogolla kuwa Jenerali na kumteua kuwa CDF akichukua nafasi ya Jenerali Robert Kariuki Kibochi aliyemaliza muda wake.
Imeisha hyoo...Siyo bure!! Haya ndiyo mambo ya Kenya Hata yule Saitoti alipoteza maisha kwa helicopter.
Ma criminals wa Kenya wakikuona wewe ni kikwazo wanalianzisha.