TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

[Personal Assistant wa Jenerali Ogola ni Major General David Kipkemboi Keter. Dhamira yangu ya kwanza ilikuwa kuangalia kama alikuwa akiandamana na bosi, hakuwepo. General kamili hasafiri na maofisa wenye cheo chini ya Major
Asante kwa ufafanuzi huo, kama hao viongozi wakubwa wa jeshi hawajafa ni mda wao wa kufa haujafika tu ila watakufa tu
Lakini hata uwe jemedari kiasi gani lakini kama kuna hujumu au ajali inatokea na vifo hakuna ujanja

Miaka ya nyuma tulivamiwa na nchi jirani (sio Africa)
Tulifuatana na baadhi ya watu ila tulitawanyika kila mmoja kuogopa kifo
Nilijizika kwa mchanga nikiwa hai na kukwepa adui

Ila wengine walikufa, sio bahati bali siku hazijafika tu
Mengi nakubali ila kifo hakikwepeki mda ukifika
 
Vipi mama hawezi kumfufua huyo?
 
Hahah
tundu lisu alimuita Magufuli dictator uchwara, sasa nimeanza kuelewa alichomaanisha, real dictators lives on, it’s all about timing, usipowawahi, wanakuwahi wao …
Nmeipenda hii, ina maana flan hvi na ina... Ila sikia tu kwa watu ombea isikukute wewe ktk cycle yako.
 
amekufa au???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…