TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

Ivi mbona jamaa sio four star General wakati ndo CDF? au Kenya wana utaratibu tofauti?
 
Poleni saaanasanasana ndugu zetu

Kupoteza mkuu wa majeshi ni pigo kubwa sana

Nafasi ya jeshi kwenye stability ya nchi zetu is second to none na siku zote wametuheshimisha
 
Hebu mwenye history ya namna huyu Mkuu wa Majeshi alivyopanda cheo atuwekee humu. Nahisi alipata kama shukrani kutoka kwa William Rutto kwa mambo aliyomsaidia wakati wa uchaguzi
Hapana. Huyu ni kipenzi cha uhuru kenyatta na alishiriki kutaka kuupindua ushindi wa Rutto huko Bomas of Kenya.
Kenya wana utaratibu wa kuteua wakuu wa majeshi kutoka kwenye kamandi zao zote tatu za kijeshi so Ruto akajikuta hana mbadala bali kumrudisha ogolla.
Ogolla alikuwa mteule wa kenyatta.
 
Makomandoo huwa wanajirusha nje kabla ya helicopter kuanguka, hivyo hupona.
Acha kuangalia movies sana. likija suala la helicopter crash hakuna cha commando, general au mdudu gani. Otherwise makomando wote wangesingekufa kwa helicopter crush
Na kutokana na design ya helicopter ikidondoka ni kama jiwe todauti na ndege zingine ambazo zina glide.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…