TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

Poleni sana Wakenya wote.
 
Hii ajali imenikumbusha General Bipin Rawat, CDS wa India, aliyekufa kwenye ajali ya helikopta.
Ile Mil ilimuua na India wanapata ajari sana za helicopters. Mazingira yao ya kijiografia na strict training runs zinachangia. Pamoja na servicing mbovu
 
inasemekana mzee raila yupo kwenye maumivu makalii, alimpenda sana huyu cdf , aliyefanana sana na jiwee!
 
Duh, helicopter ikianguka manusura huwa wachache au hakuna kabisa

Mnatakiwa kuwahi kutoka kabla haijafika chini, it takes less than 1 min to reach the ground

Imagine hao ndio jeshi , hawana hata contingency plan ya kuchomoka kwenye dharura tena chini ya mkuu wa majeshi; shame


hawa wakuu wa majeshi huwa ni manguo tu but hawana cha maana

Africa ni shida , mkuu wa majeshi anapandishwa ndege isiyokuwa emergency rescue au. Contingency plan
Shame Africa
 
Asante kwa real confession...

General apumzike kwa aman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…