TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

Siyo bure!! Haya ndiyo mambo ya Kenya Hata yule Saitoti alipoteza maisha kwa helicopter.

Ma criminals wa Kenya wakikuona wewe ni kikwazo wanalianzisha.
Hata Tz wapo waliofariki ktk mazingira ya kutatanisha wakiwemo akina Gen Kombe, PM Sokoine, Mussa Memba, Sengondo Mvungi, Daudi Mwangosi akina Benny Saanane na Azory Gwanda hawajulikani walipo na orodha ni ndefu sana hivyo haya mataifa hayatofautiani hata kidogo.
 
Siyo bure!! Haya ndiyo mambo ya Kenya Hata yule Saitoti alipoteza maisha kwa helicopter.

Ma criminals wa Kenya wakikuona wewe ni kikwazo wanalianzisha.
Kenya kuna helicopter nyingi ambazo ni sub-standard, ikiwamo na hizo zinazotumiwa na viongozi wa serikali; iliyomuua Saitoti ilikuwa na mechanical failure. Unakumbuka hata iliyomuua Filikonjombe hapa kwetu ilikuwa ya Kenya
 
Dah!...poleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…