TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

Kenya hawana chaguzi zinazoingiliwa na wakuu wa majeshi, huo ujinga upo huku kwetu kwenye katiba mbovu
Ni kweli uchaguzi wao baada ya katiba mpya ni huru sana. Lakini Ogola alionekana kwenye Cctz za tume ya uchaguzi akiingia ofisi ya Mwenyekiti wa tume, Mwenyekiti alikiri kushauriwa amtangaze Raila kwa sababu za kiusalama ila akakataa. Yes bila kuwa huru pengine angemtangaza
 
Back
Top Bottom