Hujanikosea hata kidunchu! Ila unamtaja bila sababu za msingiNisamehe sana ephen kwa kuukwaza moyo wako. Napenda uwe na furaha na amani muda wote ndani ya moyo wako.napenda niwe chanzo cha kuchanua kwa furaha yako na siyo kuwa mtu wa kuukwaza moyo wako.
Nisamehe sana ephen.
Ilikuwaje mkuu hebu tuelezee kidogoHii ajali imenikumbusha General Bipin Rawat, CDS wa India, aliyekufa kwenye ajali ya helikopta.
Nimekuelewa vyema ephen na nisamehe. Napenda kuilinda furaha ya moyo wako kama mboni ya jicho langu.Hujanikosea hata kidunchu! Ila unamtaja bila sababu za msingi
Asante.Nimekuelewa vyema ephen na nisamehe. Napenda kuilinda furaha ya moyo wako kama mboni ya jicho langu.
Tupe habari kidogo walau kwa juu juu tu.Hii ajali imenikumbusha General Bipin Rawat, CDS wa India, aliyekufa kwenye ajali ya helikopta.
Ni Gen. huyo, sio Lt Gen.Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani.
Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za awali zinadai ndege hiyo ya Kijeshi ilikuwa imebeba watu 9, na imewaka moto baada ya kudondoka hivyo kutilia hofu usalama wake.
Rais William Ruto ameitisha kikao cha dharula cha Baraza la Usalama wa Taifa.
Taarifa zaidi zitakujia hivi Punde.
Citizen TV
======
A BRIEF BIO OF THE KDF BOSS CDF OGOLLA
Gen Francis Omondi Ogolla joined the Kenya Defence Forces on 24 April 1984 and was commissioned as 2nd Lieutenant on 6 May 1985 and posted to Kenya Air Force
He trained as a fighter pilot with USAF and as an instructor pilot at the Kenya Air Force (KAF).
He also trained in other fields including imagery intelligence, counter terrorism and accident investigation
Gen Francis O Ogolla is a graduate of ÉcoleMilitaire de Paris and National Defence College of Kenya
He holds Diploma both in International Studies and Military Science from Egerton University, a Bachelor of Arts in Political Science, Armed Conflict and Peace Studies (First Class Honors) and Masters of Arts in International Studies from the University of Nairobi
He rose through ranks to become a Major General and appointed the Commander Kenya Air Force on 15 July 2018 a post he has served for three years
Previously he has held various appointments in Training, Command and Staff including Deputy Commander Kenya Air Force, Base Commander laikipia Air Base, Commanding Officer of Tactical Fighter Wing, Chief Flying Instructor at Kenya Air Force Flying Training School and Operations Desk Officer at Kenya Air Force Headquarters
He also served in the former Yugoslavia as an Observer and Military Information Officer from 1992 to 1993, as chairman of Military Christian Fellowship from 1994 to 2004 and co-Chair of Association of African Air Chiefs between 2018-2019
He is married to Aileen, and blessed with two children and a grandson. His hobbies include reading and playing golf.
---
UPDATES
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Luteni Jenerali Francis Ogolla amefariki Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Luteni Jenerali Francis Ogolla amefariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi iliyotokea leo Aprili 18, 2024 baada ya kupaa kutoka eneo la Kaben, Marakwet.
Rais William Ruto ametangaza kifo hicho na kueleza, mbali na CDF Ogolla aliyechukua nafasi hiyo Aprili 28, 2023, wengine waliokuwa kwenye Helikopta hiyo ni Maafisa kadhaa wa Jeshi ambao nao wamepoteza maisha.
Rais Ruto alimpandisha cheo Luteni Jenerali Francis Omondi Ogolla kuwa Jenerali na kumteua kuwa CDF akichukua nafasi ya Jenerali Robert Kariuki Kibochi aliyemaliza muda wake.
Mbona huyu mtalii wa Tanzania hayamkuti haya? Mungu fanya haraka ili nchi iponeNdege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani.

Tayari,Nisamehe sana ephen kwa kuukwaza moyo wako. Napenda uwe na furaha na amani muda wote ndani ya moyo wako.napenda niwe chanzo cha kuchanua kwa furaha yako na siyo kuwa mtu wa kuukwaza moyo wako.
Nisamehe sana ephen.
Kwa hiyo unataka kusemaje?😉Ruto ndo alimtuma Mkuu wa Majeshi ktk ziara hiyo wazee...
🙄🙄🤷🤷
Kwa hiyo unataka kusemaje?😉
Hata sanaHata Tz wapo waliofariki ktk mazingira ya kutatanisha wakiwemo akina Gen Kombe, PM Sokoine, Mussa Memba, Sengondo Mvungi, Daudi Mwangosi akina Benny Saanane na Azory Gwanda hawajulikani walipo na orodha ni ndefu sana hivyo haya mataifa hayatofautiani hata kidogo.
Kumbe unaweza kumnyoosha Lucas,Asante kwa kunisingizia😂
Lucas Mwashambwa ni mtu poa sana, msikivu, muelewa Nampenda kwakweliKumbe unaweza kumnyoosha Lucas,
Yaani anajitetea kabisa!!!!😀