Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Helkopta kama USAFIR kwa waafrika sio za kuaminika sijui kwa Nini? R.i.p deo filikunjombe, AkukwetiNdege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani...
Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za awali zinadai ndege hiyo ya Kijeshi ilikuwa imebeba watu 9, na imewaka moto baada ya kudondoka hivyo kutilia hofu usalama wake.
Hao wanne vipiNimeona taarifa, inasema watu watano waliokuwemo humo wamepoteza maisha
Source : Kijiwe Cha Draft Kurasini.Makomandoo huwa wanajirusha nje kabla ya helicopter kuanguka, hivyo hupona.
Cameraman never die. We uliskia wapi Cameraman akafa?Confirmed,aliyepona ni mpiga picha tu wengine wote wamefariki
Mimi imenikumbusha captain Karama pale pembeni ya Uwanja wa Uhuru 🐼Hii ajali imenikumbusha General Bipin Rawat, CDS wa India, aliyekufa kwenye ajali ya helikopta.
Labda anamaanisha Komandoo wa kwenye play station huwezijua Chifu [emoji1745][emoji2960]Kuna Komando wa Kuruka Futi 30,000 usawa wa Bahari Mkuu?
Nisamehe sana ephen kwa kuukwaza moyo wako. Napenda uwe na furaha na amani muda wote ndani ya moyo wako.napenda niwe chanzo cha kuchanua kwa furaha yako na siyo kuwa mtu wa kuukwaza moyo wako.Mama ako kausikaje kwenye kifo cha Huyo mtu hadi umtukuze..?
Kila kitu unamsifia mama mama kheeee
Helicopter gani inayohoover kwa 30k ft?Acha stories za kijiweni. Bila parachute huwezi pona toka futi 30,000.
Watu wapo serious wewe unaleta utoto wako hapa. IdiotMission Accomplished.
Haiti wanaenda PolisiUle mpango wa kupeleka kikosi Haiti naona kama unaenda kufa rasmi
NdrAmekufa au kanusulika?
Mteule anafurahiaise ! Jeshi limetikisika
Chifu hata kwa akili za kuzaliwa tu ni wapi huko kuna koneksheni ya ukomandoo bila msoto halali wa mafunzo ya kikomandoo kwa hatua zote?Makomandoo waliosotea mafunzo na kuhitimu wanao huo uwezo wa kujirusha mkuu, Ila kwa hawa wa kupewa ukomandoo kwa hisani huwa hawawezi kuruka hata futi moja.
Hyo ndo habari mkuu...Watu wapo serious wewe unaleta utoto wako hapa. Idiot