polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Mh. Homera RC Mbeya: usiingilie sana mambo walimu na wanafunzi kwamba umejivika kuwa mtetezi wao hata kwa mambo ya kipumbavu na usichukulie mambo ya walimu na wanafunzi too emotional hasa haya ya kinidhamu unakosea sana.
Nadhani umeaona mlivyo dhalilika kwenye swala la yule binti wa Dandahili sec hapo Songwe, taarifa za yule ni chafu tangiapo ni muhuni na mjeuri,nanni desturi yake kutorokea wa wanaume na tukio lile halikuwa la kwanza, binti hata kwa kumwangalia tu kimuonekani hana maadili, kuamzia uvaaji, unyoaji na hata uongeaji, ili kujisafisha muonekane hamjadhalilika mkashauri bint akiondoe kwanza kiduku chake halafu ajotokeze kwenye media kujisafisha ili aonekane kweli kanyanyaswa na nyie mlio livalia njuga hamja aibika lakini uzuri mungu hamfichi mnafiki ukweli wote umejulikana
Haya leo tena umelivagaa la Loleza kimihemko , mzee tuliza kichwa kwanza kabla, maisha ya hao wanafunzi na nidhamu zao ni msalaba mzito sana kwa walimu hao kwa vile hamjui tuu, mnaenda na ma v8 yenu hapo tukio la siku moja mnalibeba utadhani miaka yote mnashinda hapo shuleni na mnayajua yanayo tendeka,
Msidhani kupata matokeo mazuri ni kupiga tu kelele ubaoni tulio pita kwenye ualimu tuna mengi ya kuyaeleza na kwa kizazi cha sasa cha singeli hili hali ni mbaya sana kinidhamu humo mashuleni.
Unatakiwa kutambua wanasiasa kwa kutafuta kwenu sifa kwenye jamii mmechangia sana mmomonyoko wa maadili huko mashuleni mmomonyoko ambao umelelewa tangu majumbani
Jikite kwenye mambo ya msingi sana , mbeya ina mambo mengi sana ya msingi ya kuyatatua na kuyafanyia hayo maigizo yako ya ziara za kushtukiza, huo utaratibu wako wa kuanza kuvizia walimu utarudisha nyuma taaluma maana utawajaza ukaidi zaidi wanafunzi jambo ambalo si jema.
Mambo mengine ni mepesi sana hasa kama hilo la loleza sec hukupaswa kabisa kulifanya liwe headlines na makamera na waandishi lukuki hapo umetaka sifa tuu mzee na hujui wewe na hao washauri wako kwamba mnazidi kupandikiza chuki kwenye jamii dhidi ya walimu maana hata kama jambo ni la kawaida kiongozi mkubwa akisha likuza tayari na jamii italibeba kwa sura hiyo hiyo.
Na ni vile walimu ni kundi lisilo na mtetezi hapo nyumbani,lakin huo upande ulio uchagua sio sahihi wa wewe kuchukulia point tatu muhimu.
Jikite kwenye mambo ya msingi zaidi au nikushauri nenda JKT kwa mujibu kwenye kambi ukatizame hao hao wanacho kifanya huko.
Naona tusigeuze wanafunzi kama ni kundi ambalo linatakiwa lilelewe kama yai tutakosea sana na hasa kwa aina ya wanafunzi wengi waliopo africa hii, kutokana na makuzi na malezi yao humo majumbani mwao.
Pia soma:
- Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi
NB: viongozi punguzeni mihemko na sifa kwenye mswala ya kijamii tumieni busara na hekima zaid mnazidi kuiharibu jamii.
Ni hayo tu Mh. RC OMERA
Wako mtiifu
Simu: +1517388***3
Lansing - Michigan.