Chifu njaaChifu Rocket Mwashinga naye akazia viongozi waungwe mkono
Viongozi wetu wanaofanya kazi wasikashifiwe awaomba machifu wenzie wote wa hapahapa Mbeya wasikubaliane na hilo
Hapahapa mjini Mbeya wanafungua kesi kuipinga serikali kwa kazi ya bandari, hivi wanaMbeya tutaeleweka kweli anahoji Chifu Rocket Mwashinga
Pale bandarini pana wizi mkubwa nimefanya kazi pale miaka 8 bandarini Dar es Salaam niliona hata kitu kikubwa kama konteina eti linapotea kama vile ni kitu cha kubeba mkononi
Sisi wanaMbeya, viongozi wa mkoa na wilaya tutaeleweka vipi ikiwa serikali ambayo ndiyo rais mwenyewe anashitakiwa hapa mahakamani mjini Mbeya anahoji Chifu Rocket na kuonesha kuwa hatua hiyo inaweza kukwamisha serikali kuleta maendeleo yaliyoanza kufanyika hapa Mbeya anahitimisha hotuba yake kiongozi huyo wa kijadi.
Badala ya kuroga tupate Katiba mpya,wao wanaomba ulozi kwenye viti vya maana kwao na watoto waoHeeee kumbe machifu walozi??!!! Haaa huwa tunatafuta wanaochuna watu ngozi kumbe wanajulikana!! Ole wenu machifu afe mmoja hata kama siku zake zimeisha mtawajibika nyie!
Uchawi ni miongoni mwa nguzo za Chama chakavuMkuu wa Mkoa Mbeya na Spika TULIA Wawaomba MACHIFU WAWALOGE wanaopinga MKATABA WA BANDARI[emoji23][emoji1787]
Mkuu wa mkoa akiongea zilisikika sauti za wanaCCM wakidai walogwe wale wanaopinga mkataba na ikabidi mkuu wa mkoa akubali rai ya wanaCCM kuwa wanaopinga basi machifu wafanye yao kama wanaCCM walivyodai
Hicho chama bila uchawi hutoboiHahaha
ACT wazalendo?😂😂Hicho chama bila uchawi hutoboi
Tofautisha san ukiwa nje ya upigaj na ukishaingia ndan ya kula mema ya Nchi!! Humo hakunaga kitu inaitwa hofu ya MUNGU.Tulia alikuwaga mu Assembly of God sijui walimkwaza nini hadi siku Hizi anapendelea mambo ya Kienyeji!
Kama ni kwel sishangai maan wanaopinga ile kitu ni maadui ni vile wanakosa namna ya kufanya cz ni kundi kubwa san la wanaopinga.Mkuu wa Mkoa Mbeya na Spika TULIA Wawaomba MACHIFU WAWALOGE wanaopinga MKATABA WA BANDARI😂🤣
Mkuu wa mkoa akiongea zilisikika sauti za wanaCCM wakidai walogwe wale wanaopinga mkataba na ikabidi mkuu wa mkoa akubali rai ya wanaCCM kuwa wanaopinga basi machifu wafanye yao kama wanaCCM walivyodai