Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chifu Rocket Mwashinga naye akazia viongozi waungwe mkono mkataba wa bandari
Viongozi wetu wanaofanya kazi wasikashifiwe awaomba machifu wenzie wote wa hapahapa Mbeya wasikubaliane na hilo
Hapahapa mjini Mbeya vijana wetu wanadiriki hata kufungua kesi ya kihistoria ya katiba kuipinga serikali kwa kazi ya bandari, hivi wanaMbeya tutaeleweka kweli ?! anahoji Chifu Rocket Mwashinga
Chifu anasimulia uzoefu wake pale bandarini Dar es Salaam pana wizi mkubwa, nimefanya kazi pale miaka 8 bandarini Dar es Salaam niliona hata kitu kikubwa kama container eti linapotea kama vile ni kitu cha kubeba mkononi kimepita getini bila kuonekana !
Sisi wanaMbeya, viongozi wa mkoa na wilaya pia wa chama tutaeleweka vipi ikiwa serikali ambayo ndiyo rais mwenyewe anashitakiwa hapa hapa mahakamani mjini Mbeya anahoji Chifu Rocket.
Anaongeza na kuonesha hofu kuwa hatua hiyo inaweza kukwamisha serikali kuleta maendeleo yaliyoanza kufanyika hapa Mbeya anahitimisha hotuba yake kiongozi huyo wa kijadi.
Ikumbukwe kuwa sasa machifu ushawishi wao umeongezeka baada ya machifu wote wa kijadi Tanzania kuwa karibu na serikali kupitia makongamano ya kitaifa ya machifu wa jadi ambayo hufanyika kila mwaka.
Hivi karibuni mheshimiwa rais Samia Hassan alisimikwa kuwa Chifu wa Machifu wote na kupewa jina rasmi la kijadi na UMT Umoja wa Machifu Tanzania
View attachment 2689071
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisimikwa kuwa Chifu Mkuu wa Machifu wote Tanzania na kuitwa Chifu Hangaya katika hafla ya kilele cha Tamasha la Utamaduni, lililofanyika leo kwenye viwanja vya Redcross, Kisesa jijini Mwanza
Mkuu wa Mkoa Mbeya na Spika TULIA Wawaomba MACHIFU WAWALOGE wanaopinga MKATABA WA BANDARI😂🤣
Mkuu wa mkoa akiongea zilisikika sauti za wanaCCM wakidai walogwe wale wanaopinga mkataba na ikabidi mkuu wa mkoa akubali rai ya wanaCCM kuwa wanaopinga basi machifu wafanye yao kama wanaCCM walivyodai
Character assassination sio nzuri, mkosoe ila usimzushie uongo.Mambo ya free lunch toka kwa Jiwe yalimmaliza.
Huwezi kutoa chiu upewe upendeleo ukabaki salama.
Na hizi imani zetu ukiyumba tu unakuwa mbaya kuliko wachawi.
Ukristo wa kweli ukiuacha unakuwa kituko kuliko hata walevi sijui kwanini.
Tulia alikuwa Mkristo safi lakini aiku hizi ni mbovu sana sana.
Na dhambi aliyomfanyia mmewe enzi za Jiwe haitanwacha salama
Mkuu wa Mkoa Mbeya na Spika TULIA Wawaomba MACHIFU WAWALOGE wanaopinga MKATABA WA BANDARI😂🤣
Mkuu wa mkoa akiongea zilisikika sauti za wanaCCM wakidai walogwe wale wanaopinga mkataba na ikabidi mkuu wa mkoa akubali rai ya wanaCCM kuwa wanaopinga basi machifu wafanye yao kama wanaCCM walivyodai
Dr nshala lazima asikitike mwanafunzi wake huyoTulia alikuwaga mu Assembly of God sijui walimkwaza nini hadi siku Hizi anapendelea mambo ya Kienyeji!
NgombeChifu Rocket Mwashinga naye akazia viongozi waungwe mkono mkataba wa bandari
Viongozi wetu wanaofanya kazi wasikashifiwe awaomba machifu wenzie wote wa hapahapa Mbeya wasikubaliane na hilo
Hapahapa mjini Mbeya vijana wetu wanadiriki hata kufungua kesi ya kihistoria ya katiba kuipinga serikali kwa kazi ya bandari, hivi wanaMbeya tutaeleweka kweli ?! anahoji Chifu Rocket Mwashinga
Chifu anasimulia uzoefu wake pale bandarini Dar es Salaam pana wizi mkubwa, nimefanya kazi pale miaka 8 bandarini Dar es Salaam niliona hata kitu kikubwa kama container eti linapotea kama vile ni kitu cha kubeba mkononi kimepita getini bila kuonekana !
Sisi wanaMbeya, viongozi wa mkoa na wilaya pia wa chama tutaeleweka vipi ikiwa serikali ambayo ndiyo rais mwenyewe anashitakiwa hapa hapa mahakamani mjini Mbeya anahoji Chifu Rocket.
Anaongeza na kuonesha hofu kuwa hatua hiyo inaweza kukwamisha serikali kuleta maendeleo yaliyoanza kufanyika hapa Mbeya anahitimisha hotuba yake kiongozi huyo wa kijadi.
Ikumbukwe kuwa sasa machifu ushawishi wao umeongezeka baada ya machifu wote wa kijadi Tanzania kuwa karibu na serikali kupitia makongamano ya kitaifa ya machifu wa jadi ambayo hufanyika kila mwaka.
Hivi karibuni mheshimiwa rais Samia Hassan alisimikwa kuwa Chifu wa Machifu wote na kupewa jina rasmi la kijadi na UMT Umoja wa Machifu Tanzania
View attachment 2689071
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisimikwa kuwa Chifu Mkuu wa Machifu wote Tanzania na kuitwa Chifu Hangaya katika hafla ya kilele cha Tamasha la Utamaduni, lililofanyika leo kwenye viwanja vya Redcross, Kisesa jijini Mwanza
Chifu Rocket Mwashinga naye akazia viongozi waungwe mkono mkataba wa bandari
Viongozi wetu wanaofanya kazi wasikashifiwe awaomba machifu wenzie wote wa hapahapa Mbeya wasikubaliane na hilo
Hapahapa mjini Mbeya vijana wetu wanadiriki hata kufungua kesi ya kihistoria ya katiba kuipinga serikali kwa kazi ya bandari, hivi wanaMbeya tutaeleweka kweli ?! anahoji Chifu Rocket Mwashinga
Chifu anasimulia uzoefu wake pale bandarini Dar es Salaam pana wizi mkubwa, nimefanya kazi pale miaka 8 bandarini Dar es Salaam niliona hata kitu kikubwa kama container eti linapotea kama vile ni kitu cha kubeba mkononi kimepita getini bila kuonekana !
Sisi wanaMbeya, viongozi wa mkoa na wilaya pia wa chama tutaeleweka vipi ikiwa serikali ambayo ndiyo rais mwenyewe anashitakiwa hapa hapa mahakamani mjini Mbeya anahoji Chifu Rocket.
Anaongeza na kuonesha hofu kuwa hatua hiyo inaweza kukwamisha serikali kuleta maendeleo yaliyoanza kufanyika hapa Mbeya anahitimisha hotuba yake kiongozi huyo wa kijadi.
Ikumbukwe kuwa sasa machifu ushawishi wao umeongezeka baada ya machifu wote wa kijadi Tanzania kuwa karibu na serikali kupitia makongamano ya kitaifa ya machifu wa jadi ambayo hufanyika kila mwaka.
Hivi karibuni mheshimiwa rais Samia Hassan alisimikwa kuwa Chifu wa Machifu wote na kupewa jina rasmi la kijadi na UMT Umoja wa Machifu Tanzania
View attachment 2689071
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisimikwa kuwa Chifu Mkuu wa Machifu wote Tanzania na kuitwa Chifu Hangaya katika hafla ya kilele cha Tamasha la Utamaduni, lililofanyika leo kwenye viwanja vya Redcross, Kisesa jijini Mwanza
Usiseme sahizi Tulia anapendelea mambo ya kienyeji, sema anapendelea mambo ya kichawi.Tulia alikuwaga mu Assembly of God sijui walimkwaza nini hadi siku Hizi anapendelea mambo ya Kienyeji!
Amina. Na ikawe hivyo.Dr Tulia, huu ni wazimu sasa.
Kufanya hivo ni sawa na kupingana na kazi ya mungu, alietuumba tofauti tofauti kwenye kila kitu; Ametuumba tofauti kifikra, kiakili, kimawazo, kimatamanio, kimaumbile, Kikabila, Kimataifa.
Huwezi kulazimisha watanzania wote wafikiri kama wewe, wakubaliane kila kitu na wewe, wawe na akili au ujinga kama wewe, wawe walozi kama wewe, na waendane kila kitu kama unavyotaka wewe!!! Mungu ndio alieumba tofauti zetu!!!
Mungu ajaalie huo ulozi unaotaka wafanyiwe watu wasio na hatia, kisa kukinzana na mawazo/fikra zako, ukurudie wewe mwenyewe!
Hii nchi imevuruga haswaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu wa Mkoa Mbeya na Spika TULIA Wawaomba MACHIFU WAWALOGE wanaopinga MKATABA WA BANDARI[emoji23][emoji1787]