- Thread starter
- #21
CCM wawa mbogo Mbeya, waomba msaada machifu waingilie kati
Mzee wa CCM Rungwe anasema yeye ni mjukuu wa hiyari wa aliyekuwa chifu Mwakatumbula kwa kuwa babu yake alikuwa mwandishi wa chifu Mwakatumbula lakini bahati mbaya hakukabidhiwa mikoba ama sivyo asingekuwa analalamika jukwaani, mambo yangekuwa mengine hivyo anaomba msaada wa wazee wa jadi na machifu waingilie kati suala la Spika kuchagizwa ajiuzulu kufuatia sakata la bandari kupewa milele ...