Mkuu wa Mkoa Mbeya na Spika Tulia wawaomba Machifu wawaloge wanaopinga Mkataba wa Bandari

Karne hii kuna mtu bado anaamini hao washirikina? Labda wanawake wanaotafuta mabwana, au watu wanaosaka utajiri wa ushirikina. Hao machifu uchwara wabaki kutoa matambiko kwenye mwenge wa uhuru, maana ule nao ni ushirikina wa wazi. Kama hao machifu wana ushawishi basi ni kwa ccm, maana huko CCM ushirikina ni sehemu ya sifa zao kuu.
 
Ccm imegeukia kwa viongozi wa kimila ili kutafuta nini ?
 
Character assassination sio nzuri, mkosoe ila usimzushie uongo.
 
Najuta kumuunga mkono tulia achaguliwe kama speaker. Kumbe ni bongo la mpinga maendeleo 'reactionary' na mchumia tumbo tu. Anaringia cheti cha Phd tu hana weledi.
 
Tuna safari ndefu sana kama taifa aisee!
Maisha ya Tanzania yanahitaji tafakari ya namna yake.
Ole kwa kizazi kinachokuja!
 
Mbeya, Tanzania

Stephen Masato Wasira - AFOKA KWA UKALI, ''WAKOME, ACHENI KUWASIKILIZA WAROPOKAJI''...


Kada na kiongozi ktk serikali kadhaa za kuanzia awamu ya Julius Nyerere hadi ya Jakaya Kikwete akiwa jukwaani viwanja vya Luanda Nzovwe mjini Mbeya akitetea alichoita makubaliano na nchi ya Dubai kuhusu bandari akisema siyo kitu cha ajabu kwani kumbukumbu zinaonesha huko nyuma ....
 
Ngombe
 
Huu ndiyo uwendawazimu wa hali ya juu. Yaani wanataka kusema kuwa CCM ni chama cha wachawi? Ndiyo maana nchi inakosa baraka.

Mungu ni mkuu kuliko shetani. Tumwombe Mungu aoneshe ukuu wake dhidi ya wachawi wote. Mungu aliyemteketeza farao na wachawi wake, na jeshi lake, tunamwomba awaangamize pia wachawi wa CCM.
 
Tulia alikuwaga mu Assembly of God sijui walimkwaza nini hadi siku Hizi anapendelea mambo ya Kienyeji!
Usiseme sahizi Tulia anapendelea mambo ya kienyeji, sema anapendelea mambo ya kichawi.
 
Amina. Na ikawe hivyo.

Na kila aina ya uovu wapangao dhidi ya wasio na hatia, Mungu wetu, tunaomba, ubaya huo huo ukawarudie wao wenyewe hata mara kumi zaidi.
 
UVCCM kuandamana nchi nzima kuunga mkono serikali, pia wamtaka msajili wa vyama vya siasa kuchukua hatua stahiki


Hayo yamefahamika wakati mwenyekiti wa UVCCM kada Mohamed Kawaida alipokuwa anaongea na viongozi wa UVCCM na kutangaza azma ya kuandamana kila kona ya nchi kuunga mkono alichoita makubaliano ya serikali ya Tanzania na Dubai kuhusu bandari ....

UVCCM wataanza maandamano yao mkoani Dar es Salaam hapo tarehe 18 Julai 2023 amesema Mohamed Kawaida mwenyekiti wa UVCCM taifa na kisha kuendelea kuandamana katika mikoa mingine kuunga mkono hatua za serikali kuhusu bandari ...
 
TOKA MAKTABA :
2018 15 February

Tujikumbushe sala ya wanaCCM kukemea mapepo ya CHADEMA iliyoongozwa na mchungaji mama Dr. Gertrude Pangalile Rwakatare mbunge wa CCM ambapo wanaCCM waliazimia roho ya upinzani iteketee na moto

 
Hii nchi imevuruga haswaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa wanakoelekea watakuwa vifaa,,Shida ya madaraka ya kubambikiwa hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…