Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Ni miaka 40 toka aondoke Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine,na ni miaka mitatu toka aondoke Hayati Rais John Pombe Magufuli, Viongozi awa wametuachia alama za Uongozi wao wa mfano kwa jinsi walivyokuwa na uadilifu na kufuatilia utendaji kazi huku wakikemea ulaji rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,kutetea rasilimali za Watanzania,wakiweka mkazo kumtetea mnyonge na kuondoa daraja kati ya bepari,bwanyenye,kabaila na mnyonge kabwela,somo la uongozi wao limetuletea mwanafunzi hodari na shupavu nae ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mh Paul Makonda.
Viongozi awa Hayati Edward Moringe Sokoine na Hayati John Pombe Magufuli hawakujali saa walifanya kazi usiku na mchana,asubuhi,mchana na jioni,wakati wa mvua na wakati wa jua,ndivyo alivyo Mkuu wa Mkoa wetu Paul Makonda hajali saa,hata usiku wa manane kwake ni kazi tu,kama ambavyo hawakulala Hayati Edward Moringe Sokoine na Hayati John Pombe Magufuli nae pia uwa halali,Hayati Edward Moringe Sokoine na Hayati John Pombe Magufuli walijiamini na kulinda rasilimali za Watanzania ndivyo alivyo Mh Paul Makonda anajiamini anapigania watu waliopokonywa haki warejeshewe haki zao,
Hayati Edward Moringe Sokoine na Hayati John Pombe Magufuli waliheshimu watu wote,Mh Paul Makonda ndivyo alivyo,anaheshimu kila mtu bila kujali umri,wadhifa na pesa hana makuu,anaweza kula mahindi barabarani kama Hayati Rais John Pombe Magufuli alivyokuwa anajilia zake mahindi kama sio rais wala si mtu wa kujikweza nae pia Mkuu wa Mkoa si mtu wa kujikweza,habagui mtu yoyote,ndivyo walivyokuwa viongozi wetu Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine na Hayati Rais John Pombe Magufuli hawakuwa na ubaguzi wowote na wala hawabagui dini, chama, jinsia, rangi na kabila la mtu.
Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine na Hayati Rais John Pombe Magufuli hawakuridhika na kuambiwa tu matatizo,walifanya juhudi kubwa katika kujionea wenyewe na walifuatilia utekelezaji wa kazi za serikali,ndivyo alivyo Mkuu wa Mkoa Paul Makonda,haridhiki kwa kuambiwa tu na anahakikisha anapata taarifa ya hilo jambo kwa kulifuatilia kwa makini na kulipatia ufumbuzi mapema iwezekanvyo.
Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine na Hayati Rais John Pombe Magufuli hawakujali kuhatarisha maisha yao,Wakati wa vita na majeshi ya uvamizi wa nduli Idi Amin kwenye uwanja wa mapambamo,Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine alikuwa mstari wa mbele,hivyo hivyo ikawa kwa Hayati Rais John Pombe Magufuli alikuwa mstari wa mbele kwenye vita ya korona lakini pia Hayati Rais John Pombe Magufuli alihatarisha maisha yake dhidi ya vita ya kiuchumi kwa kupambana vilivyo na wahujumu uchumi.Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine na Hayati Rais John Pombe Magufuli hawakujali mahali,walitembelea mikoa yote na wala si Monduli au Chato tu,walitembelea mikoa yote na vijiji vyote vya Ujamaa,ndivyo alivyo Mh Mkuu wa Mkoa Paul Makonda,
Nimalizie kwa kukuombea Mungu akupe neema ya kuenenda na kulisaidia Taifa la Tanzania kuondoka kwenye lindi la umasikini na kuifanya Tanzania kujivunia rasilimali zake,Mungu akabariki mkono wako na mguu wako,utapogusa pakabarikiwe na utakapokanyaga pakapone,pokea neema ya Mtume Petro,pokea neema ya Mtume Paulo,pokea neema ya Elia aliyempa vazi lake Elisha na akapiga maji yakagawanyika,katika jina la Yesu kristo wa Nazareth,ukatende sawa sawa na mapenzi ya Mungu.Amina.
Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
-Bachelor of business administration in International business.
-Master of Leadership and Management.
Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.