Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo

Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo

Pauline Gekul alitia mtu chupa matokoni, RC mmoja naye kimlawiti bint huko. Ccm ni Genge la Wahuni.
 
Hii adhabu ikitungiwa Sheria vizuri ...inaweza ongeza uwajibikaji kwa makosa madogo madogo ,kuliko kumfunga mtu au kumweka cello.
Tukianzia kwa hayo mafisadi yanayovaa suti na ulinzi juu yanapewa kwa pesa za walipa kodi.
 
Back
Top Bottom