Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mnyonge.Duh we nae kwenu wanakutegemea kwa hizi hiz akili 😀😀😀
Madhara ya kuchagua wasaidizi kwa kuangalia rangi ya kadi ya chama mtu anachoshabikia. Ifike mahali hawa wachaguliwa wawe wanawasilisha write up ya kazi wanayoenda kuifanya na pia wafnyiwe usaili. Katiba mpya ni muhimu iwe na kipengele husikaMama ana kazi ngumu sana.
Wala hata sishituki.
Unatoa kibaka unaingiza jambazi.
Gekul yupo gereza gani?
Huyu Kenani haya mamlaka ya kucharaza watu bakora aliyatoa wapi?
Yaani nchi bado ina majambazi yanayovunja sheria kwa kufanya " corporal punishment" ila yanapewa tu nafasi kwa kuhamishwa..
Mbona mafisadi wanaoiba hawacharazwi bakora hadharani.?
Kama kenani aliyewacharaza viboko niwatanzania basi amefanya jambo zuri sana nampa pongezi zangu
Jiwe alikuwa ni mpumbavu sana na mshamba sana. Chato Kuna mahutu mengi sana makimbizi!!!Pongezi kwake Rais, kiongozi anapaswa kuchukua hatua haraka kwa wateule wake inapotokea mteule kutuhumiwa kwa tuhuma kubwa na mbaya kama ya huyo RC siyo yule mwingine mteule wake anavamia ofisi ya watu na mabunduki halafu mteuzi anajifanya haoni! Huwa nashangaa sana baadhi ya watu wanapodai eti ndiye kiongozi aliyefaa sijui mzalendo! Alikuwa ovyo tu.
Kwani Nawanda ni kijana?!!Mbona kama unazidi kumsagia kunguni tu asee...
Kwa age yake kupata PhD it means ni mpambanaji wa shule. Wengi wanazipata uzeeni.
Hahahhahah kwani ukanda wa pwani ushoga ulivojaa watu wa dini gani?Masheikh wanalawiti sana watoto kila mara misikitini, na huyu Muislam mwenzetu RC naye analawiti hovyo....mbona mwaiaibisha dini ya Hakhi?
Wanigambila stupid mbele ya my wife?🙆Hivi mke wake anajiskiaje?
Haya misogynists nawasubiri mje mseme lazima mkewe anampa stress ndo maana mwanaume kaamua akalawiti na mwanafunzi wa chuo.
Viumbe waharibifu wakubwa na hamheshimu familia zenu! Stupid!
Ni Mwislamu aliyekwenda Makkah kutubu dhambi na kumtupia Shetani maweAlhaj ni nani
Kuna watu hawatachomwa Moto bali watakua Kuni za Kuchomea wanzao kwa jinsi wanavyomchezea Mungu!Ni Mwislamu aliyekwenda Makkah kutubu dhambi na kumtupia Shetani mawe
Akatafute kazi kwenye madanguro!Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo:
1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya uteuzi, Bw. Kihongosi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba. Bw. Kihongosi anachukua nafasi ya Dkt. Yahaya Ismail Nawanda ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
2. Amemteua Bw. Elias Daniel Mwandobo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba. Kabla uteuzi, Bw. Mwandobo alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais Ikulu.
3. Amemteua Bw. Christopher Magala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu. Bw. Magala anachukua nafasi ya Dkt. Stephen Isaac Mwakajumilo ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
4. Amemteua Bw. George Hillary Herbet kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani. Kabla ya uteuzi, Bw. Herbet alikuwa Naibu Msajili wa Mahakama ya Rufani.
Uapisho wa Mkuu wa Mkoa na Msajili wa Mahakama ya Rufani utafayika kwa tarehe itakayopangwa baadaye.
====
Pias soma: MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi
Kumbe naye mdau?Kenani mwenyewe ni wale wale, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya fudengee, sponsaa kapelekwa Simiyu, vipi pale kigas utahama au?
Muambie akuweke Dom, iwe rahis kukufikiaaa. Woiiiiiih
Hii adhabu ikitungiwa Sheria vizuri ...inaweza ongeza uwajibikaji kwa makosa madogo madogo ,kuliko kumfunga mtu au kumweka cello.Wala hata sishituki.
Unatoa kibaka unaingiza jambazi.
Gekul yupo gereza gani?
Huyu Kenani haya mamlaka ya kucharaza watu bakora aliyatoa wapi?
Yaani nchi bado ina majambazi yanayovunja sheria kwa kufanya " corporal punishment" ila yanapewa tu nafasi kwa kuhamishwa..
Mbona mafisadi wanaoiba hawacharazwi bakora hadharani.?
View attachment 3014548