prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,184
- 3,369
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Christopher Magala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mkoani Mtwara akichukua nafasi ya Dkt. Stephen Isaac Mwakajumilo ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Rais Samia amemteua pia Elias Daniel
Mwandobo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba, kabla ya uteuzi, Mwandobo alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais - Ikulu na pia Rais Samia amemteua George Hillary Herbert kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani, kabla ya uteuzi, Herbert alikuwa Naibu Msajili wa Mahakama ya Rufani.
Uapisho wa Mkuu wa Mkoa na Msajili wa
Mahakama ya Rufani utafanyika kwa tarehe itakayopangwa baadaye.
Sources MillardAyoUPDATES