Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo

Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo

Pongezi kwake Rais, kiongozi anapaswa kuchukua hatua haraka kwa wateule wake inapotokea mteule kutuhumiwa kwa tuhuma kubwa na mbaya kama ya huyo RC siyo yule mwingine mteule wake anavamia ofisi ya watu na mabunduki halafu mteuzi anajifanya haoni! Huwa nashangaa sana baadhi ya watu wanapodai eti ndiye kiongozi aliyefaa sijui mzalendo! Alikuwa ovyo tu.
 
Attachments

  • 49FF5132-FDF9-49FF-8594-834D3A16343F.jpeg
    49FF5132-FDF9-49FF-8594-834D3A16343F.jpeg
    180.2 KB · Views: 6
Pongezi kwake Rais,kiongozi anapaswa kuchukua hatua haraka kwa wateule wake inapotokea mteule kutuhumiwa kwa tuhuma kubwa na mbaya kama ya huyo RC siyo yule mwingine mteule wake anavamia ofisi ya watu na mabunduki halafu mteuzi anajifanya haoni! Uwa nashangaa sana baadhi ya watu wanapodai eti ndiye kiongozi aliyefaa sijui mzalendo! Alikuwa ovyo tu.
Samia angekuwa na speed hii ya kutumbua kwenye mengine kama kubadili katiba tungekuwa mbali sana.
 
PhD.

Jamaa ana sifa balaa. Anapenda kujikweza mno. Alipokuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora, nilishafanya naye kazi moja.

Ni mjivuni na mpenda wanawake. A very shallow candidate!.

Duh...

Mbona balaa hilo. Atakuwa very shallow kweli.. Hayo maelezo ya uchunguzi yana onesha alikuwa arrogant.. Na ulevi wa madaraka ulimzidia.

Bado ni kijana sana... Amepoteza future yake mapema. Hata akipona katika hali, tayari jamii itakuwa imeshamuweka kwenye kundi la hovyo.
 
Pongezi kwake Rais, kiongozi anapaswa kuchukua hatua haraka kwa wateule wake inapotokea mteule kutuhumiwa kwa tuhuma kubwa na mbaya kama ya huyo RC siyo yule mwingine mteule wake anavamia ofisi ya watu na mabunduki halafu mteuzi anajifanya haoni! Huwa nashangaa sana baadhi ya watu wanapodai eti ndiye kiongozi aliyefaa sijui mzalendo! Alikuwa ovyo tu.
🙏
 
Hivi mke wake anajiskiaje?

Haya misogynists nawasubiri mje mseme lazima mkewe anampa stress ndo maana mwanaume kaamua akalawiti na mwanafunzi wa chuo.

Viumbe waharibifu wakubwa na hamheshimu familia zenu! Stupid!
 
Back
Top Bottom