Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania?mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Kwahiyo sikuhizi jina ni kabila! Basi kwenye orodha wengi utawaondoa.
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania?mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania?mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
lete birth certificate ya babu yako tuhakikishe kama wewe ni mtanganyika.
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania?mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Unamaanisha nini? Mkuu wa Mkoa Songwr hilo si jina lake, umekula tango pori
 
Matokeo ya kuishi ni a shithole country hadi leo tunashindwa kutambuana, my President fanya haya pls, vunja hii wizara ya home affairs, tengeneza wizara mbili, police(usalama wa raia)na home affairs (uraia &immigrations),tuanze upya kusajili watanzania hasa tukianza na watoto wanaozaliwa, lazima wawe na birth certificate zenye ID number iliyorekodiwa kwenye central data systems ya nchi, kwa sasa nchi ipo kama WC ,yaani unaingia na kutoka kama Choo cha bus stop
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania?mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Kwa kidogo ninachokifahamu...huyu Jamaa ni Mtanzania...origin yake kama sikosei ni Kigoma(nt sure)...ila huko nyuma aliwahi kuwa pale UDSM kama Lecturer...,Magu ndie aliemuintroduce Serikalini...alianzia kuwa mjumbe wa Bodi TPA .. akaja Naibu Katibu Mkuu..kipindi hicho hicho cha Magu...ndio mpaka leo hapa...
Navyofahamu Dr.Francis ni mzima sana kichwani na ni Mtendaji mzuri sana...yaani ni wale watu ambao wana uwezo wa kuanzisha jambo..na kulisimamia mpaka mwisho...hata kitaalum alianzia kuwa Mwalimu huko akajiendeleza mpaka kuwa na PHD..(unaweza kuona alivyo na juhudi)

Kilichonishangaza sijui kafanya kosa gani hapo...manaake nilisikia kuwa alipewa hiyo nafasi ya KM-ELIMU kwa sababu ya Restructuring inayoendelea kwenye mfumo wa Elimu kutokana na Uwezo alio nao..
Nadhani unafahamu hata Waziri wake nae anasemekana ni kichwa fulani hv...kwa wanaomfahamu...kwa hiyo nadhani combination yao ilidhaniwa ingefanya kitu kizuri...(Wasalam...nilipokosea si kwa makusudi kwani baadhi hasa sifa za academic ni za kuhadithiwa na watu waliosoma nae)

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania?mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Ukikuta mtu anatumia majina ya Kizungu tu anapojitambulisha mara nyingi huwa kuna kitu anaficha

Francis Michael (akaficha Kasavubu)
Furaha Dominic (akaficha nasaba ya Kimagufuli)
Happiness sijui nani (naye alificha nasaba na Magufuli)

Wapo wengi
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania?mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Acha mambo ya kijinga,jina unapewa na mzazi,hapa bongo Kuna watu wanaitwa George Washington,je wanakuwa wamarekani kisa tu Wana jina kama la Rais wa kwanza wa USA!
Mtoto wa Raila Odinga,anaitwa,Fidel Castro Odinga,je anakuwa Mtu wa Cuba.
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania?mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Wacongo na warundi tunashea majina..mihayo,mpango,lugali,
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania?mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Wewe mwenyewe ikute ni mmalawi. Kwani Bashe ni Mtanzania ?Maana ana jina la kisomali .
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania?mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Kwani majina ya kitanzania yapoje ?
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania?mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Alikuwa mkimbizi wa kirundi walio ingia miaka ya 70s akapata uraia amesoma hapa alikuwa ccm kindakindaki

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
A
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania?mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
ngekua Aballah, Hamisi au Hamza usingehoji ulivyo mdini.
Hili swali lingeylizwa na Luka juu ya Hamisi ungetetea.

Sikuwahi kujua u mdini kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom