Kwa kidogo ninachokifahamu...huyu Jamaa ni Mtanzania...origin yake kama sikosei ni Kigoma(nt sure)...ila huko nyuma aliwahi kuwa pale UDSM kama Lecturer...,Magu ndie aliemuintroduce Serikalini...alianzia kuwa mjumbe wa Bodi TPA .. akaja Naibu Katibu Mkuu..kipindi hicho hicho cha Magu...ndio mpaka leo hapa...
Navyofahamu Dr.Francis ni mzima sana kichwani na ni Mtendaji mzuri sana...yaani ni wale watu ambao wana uwezo wa kuanzisha jambo..na kulisimamia mpaka mwisho...hata kitaalum alianzia kuwa Mwalimu huko akajiendeleza mpaka kuwa na PHD..(unaweza kuona alivyo na juhudi)
Kilichonishangaza sijui kafanya kosa gani hapo...manaake nilisikia kuwa alipewa hiyo nafasi ya KM-ELIMU kwa sababu ya Restructuring inayoendelea kwenye mfumo wa Elimu kutokana na Uwezo alio nao..
Nadhani unafahamu hata Waziri wake nae anasemekana ni kichwa fulani hv...kwa wanaomfahamu...kwa hiyo nadhani combination yao ilidhaniwa ingefanya kitu kizuri...(Wasalam...nilipokosea si kwa makusudi kwani baadhi hasa sifa za academic ni za kuhadithiwa na watu waliosoma nae)
Sent from my SM-A217F using
JamiiForums mobile app