Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania?mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Mama yenu anaupigwa mwingi
 
Mkuu kwani huyo Osama unayemsema ni jina lake la ukoo, au huyo Mandela ni jina lake la ukoo?
Nimesoma na jamaa anaitwa Saddam Hussein ila jina lake la ukoo ni la kibongo, hapa hatusemi majina ya kuokoteza uko Ulaya na Uarabuni au wapi. Tunasema jina la ukoo ambalo ndio uhalisia wa mtu.

Hivihivi tulijikuta tuna Kanali wa JW ni Mnyarwanda na anatuma taarifa kwa Kagame, alitoroka na sasa ana cheo kikubwa uko kwao. Hivi hivi Syria ilijikuta na Eliyahu Cohen Myahudi pure aliyejifanya anaitwa Kamel Amin alafu akawa mshauri wa usalama na mmojawapo wa vigogo serikalini. Mtu anauliza kujua background ya kiongozi serikalini anatokea muuza gongo analalamika. Hii nchi imejaa vilaza watupu.

Congo hawakuuliza uraia wa maofisa wao serikalini wakajikuta wamejaza Wanyarwanda kila idara. Last month mshauri wa Rais kapigwa msako kakutwa na passport ya siri kutoka Rwanda na ana documents za nyumba anazomiliki uko, yuko under arrest.
Shukran Kwa kunielewa
 
Wewe uliesema waziwazi wakristo ndo wachapakazi na waislam hawatakiwi huoni udini wako...
Nyani haoni ...
Sasa mtauza mihadarati na kupanga kuwadhuru Wakristo saa ngapi mkiwa wachapa kazi?
Unaweza kufananisha utendaji wa mawaziri enzi za Mkapa na kipindi cha Mkewre na Samia?

Kipindi cha awamu ya watawala wa Saudia zaidi ni bata tu na kupanga njama za kuchoma makanisa
 
We Una tatizo lingine kabisa... Siwezi bishana na wewe
 
Wewe uliesema waziwazi wakristo ndo wachapakazi na waislam hawatakiwi huoni udini wako...
Nyani haoni ...
Kama unabisha nitajie mawaziri kumi bora kwa utendaji wa upande wenu mimi nikutajie 20 wa upande wetu
 
Kama unabisha nitajie mawaziri kumi bora kwa utendaji wa upande wenu mimi nikutajie 20 wa upande wetu
Uwezo wako mdogo Sana wa kuelewa hoja...
Thread inahusu Uraia unakuja leta mambo ya dini...

Wapi uliona nikimponda waziri Kwa sababu mkristo au nikimsifia waziri sababu muislam ...hayo mambo yapo kichwani mwako
 
Kwa hiyo huu ndio uwezo wako mkubwa?
 
Kwa hiyo huu ndio uwezo wako mkubwa?
Kwangu Mimi mtu kama ni Mtanzania sijali na sitazami dini yake wala kabila ..

Masuala ya performance naacha Kwa aliewateua.......wala siwezi tukana dini nzima Kwa hasira za kiongozi mmoja..

Wewe unapoita watu wavaa kubazi na wachoma makanisa unaelewa unachofanya au unaropoka?
 
Katiba inasemaje kuhusu mtu kuwa raia wa TANZANIA.
 
Unashangaa Wakigoma kuwa na majina ya Kikongo na Kirundi ni kama Wamakonde kuwa na majina ya Msumbiji au Wachaga kuwa na majina ya Wakenya.
Hii ni kutokana na ile social interaction kabla na baada ya ukoloni.
 
Kasavubu aliwahi kujitangazia Uhuru miaka ya 1960s jimbo LA Katanga lijitenge na Congo. Mwulizaji naona anasumbuliwa na historia. Anapaswa kufahamu kuwa majina mengi ya kibantu hufanana
Aliejitangazia uhuru wa jimbo la katanga alikuwa Tchombe Bali kasavubu alikuwa Rais wa kwanza wa [emoji1078]
 
Kwangu Mimi mtu kama ni Mtanzania sijali na sitazami dini yake wala kabila ..

Masuala ya performance naacha Kwa aliewateua.......wala siwezi tukana dini nzima Kwa hasira za kiongozi mmoja..

Wewe unapoita watu wavaa kubazi na wachoma makanisa unaelewa unachofanya au unaropoka?
Wewe dogo mimi sijakurupuka kukuita mdini.
Nimetrack rekodi zako sana tangu awamu zingine na mtazamo wako kuhusu imani za dini awamu hii.
Hapa unajikosha bure tu.
Tuachane na huu upuuzi tuendelee na mengine
 
Back
Top Bottom