Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

Ni aibu.... Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile.

Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni model wao.

Kwa tukio hili tu ni haki walimu kumwagiwa mchanga,kurushiwa mayai viza n.k ni shule ya kipuuzi sana. Wazazi wanapaswa wakutane na mkuu wa shule hii. Ni jambo la aibu mtu huyu kuwa ni model wa wanafunzi hawa.

Mkuu wa Mkoa angalia matatizo mawili ya shule hii.

1. Tatizo la kukosa fensi
2. Tatizo la kumwalika ambaruti
View attachment 1909206
Watoto wanamjua Amba Ruthy Zaidi Kumzidi Jokate Mkuu wa Wilaya
 
Kuna watu wanafanya uovu mkubwa kuliko wa Amber Rutty na hawajahi kuomba msamaha ila wapo bungeni wengine madhabahuni mnaona fresh tu , uyu binti aliomba msamaha alijutia na akatumikia adhabu yake hatuwezi kuendelea kumhukumu milele
 
Back
Top Bottom