Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

Nikisoma au kusikia neno Amber Rutty picha inayonijia ni ya lile shimo lake tu
 
Je angealikwa Mia Khalifa kuwa mgeni rasmi ingekuwaje?

Sio kama nimefurahia bali kumwalika mtu ambaye alichokifanya kama kioo cha jamii hakifai hata kuwa kigezo chema hafai hata kualikwa mbele ya watoto ambao mawazo yao ni kigezo chema! Kwahili Serikali ichukue hatua.

Lakini pia BASATA nao kwa upande wao watunge sheria kali ambazo zitawabana wasanii kujihusisha na shughuli za kijamii kwa wale ambao matendo yao hayafai hata kuwa kigezo chema mbele ya jamii.

I'm out!
 
Role Model wa kwanza wa Mwanafunzi ni Mwalimu wake, sasa kama Mwalimu ana_koneksheni na watu wa hovyo, wanaoingiliwa kinyume na maumbile na jamii inajua, unapomualika shuleni tena kwa kuwakusanya wanafunzi wamsikilize inamaanisha nini? Una-sapoti tabia za msanii husika? Kuna kitu umekiona wanafunzi watajifunza toka kwake?

Napata mashaka juu ya uwezo wa kufikiri wa Mkuu wa hiyo shule, kimaadili na kinidhamu haijakaa poa.

Nashauri Afisa Elimu amvue madaraka mara moja.
 
Kama unajua kwenye kizazi chako wewe utazaaga Malaika tu, endelea kumponda Amber Rutty..
 
Hii nchi hii iko shaghalabaghala ,sasa huyo Umberruti ni kioo Cha jamii au ni uchafu kwenye jamii!?

Mtu pics zake za uchi zimevuja tena akifanya mambo ya kifedhuli halafu ndio walimu wanampeleka kwa wanafunzi ili awe role model wao kweli!? Kuna tatizo kwenye hii nchi sio bure.
 
Kuna yule me--- video yake ilivuja akiliwa
Akionesha pia msambwanda,lkn badaye aliishia
Kupewa ubalozi wa makampun...gadamit

Ova
 
Hii nchi hii iko shaghalabaghala ,sasa huyo Umberruti ni kioo Cha jamii au ni uchafu kwenye jamii!?? Mtu pics zake za uchi zimevuja tena akifanya mambo ya kifedhui alafu ndio walimu wanampeleka kwa wanafunzi Ili awe role model wao kweli!? Kuna tatizo kwenye hii nchi sio bure.
Nchi hii inawakumbatia sana watu wa ovyoovyo

Ova
 
Nchi hii inawakumbatia sana watu wa ovyoovyo

Ova
Watu wa hovyo hovyo ndio wanaonekana wa maana kwenye hii nchi, bado hatujapata kiongozi ambae yuko serious kupambana na maadui wa taifa umaskini, maradhi na ujinga.
 
Yaani huyoo lazima apate WA kumuiga hapo shule yenyewe ya Nzasa 😂😂😂😂itakuwa mwalimu alipenda mapigo yake kwenye video maana mpaka kumuita hapo 😂😂😂😂
 
Asamehewe... Mungu husamehe. Yesu alisema na asiekuwa na dhambi na awe wa kwanza kumpiga mawe yule malaya...kila mtu alilaza
 
Huyo Amberrutty anavyoandamwa...hadi wale watoto watajiuliza alifanya Nini huyu??...hao madenti wataingia chimbo kutafuta mapicha yake
 
Usihukumu ili usije ukahukumiwa. Unayoyafanya gizani kuna mtu amewahi kukuonyeshea kidole. ???
 
Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile.

Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni model wao.

Kwa tukio hili tu ni haki walimu kumwagiwa mchanga,kurushiwa mayai viza n.k ni shule ya kipuuzi sana. Wazazi wanapaswa wakutane na mkuu wa shule hii. Ni jambo la aibu mtu huyu kuwa ni model wa wanafunzi hawa.

Mkuu wa Mkoa angalia matatizo mawili ya shule hii.

1. Tatizo la kukosa fensi
2. Tatizo la kumwalika ambaruti

View attachment 1909206
Acha wenge wewe unaona makosa wenzio yako huyaoni ya kutuletea majungu yako hapa
 
Back
Top Bottom