Dada na wewe unaliwa tak nini?Hakuna tatizo lolote hapo, acheni ujinga na ushamba, dunia imebadilika na sisi tubadilike kulingana na matakwa ya kidunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada na wewe unaliwa tak nini?Hakuna tatizo lolote hapo, acheni ujinga na ushamba, dunia imebadilika na sisi tubadilike kulingana na matakwa ya kidunia.
Hahah wewe jamaa acha kumfananisha Mia Khalifa na vitu vya ajabu unatukosea fans wake na chama cha chaputaJe angealikwa Mia Khalifa kuwa mgeni rasmi ingekuwaje?
Sio kama nimefurahia bali kumwalika mtu ambaye alichokifanya kama kioo cha jamii hakifai hata kuwa kigezo chema hafai hata kualikwa mbele ya watoto ambao mawazo yao ni kigezo chema! Kwahili Serikali ichukue hatua.
Lakini pia BASATA nao kwa upande wao watunge sheria kali ambazo zitawabana wasanii kujihusisha na shughuli za kijamii kwa wale ambao matendo yao hayafai hata kuwa kigezo chema mbele ya jamii.
I'm out!
Tofauti zao huoni kweli!!!?Kwani Umber Ruty anatofauti gani na Gwajima??
Hebu muacheni dada wa watu maisha yaendelee.
ko mkuu wee kinachokuuma ni mfirwaji kupewa mualiko hapo shuleni. Unashangaa tu vile ujui yaliyomo nyuma ya pazia. Laiti kama madhambi ya watu yangekuwa yanawekwa hadharani, basi pengine hata huyo mkuu wa mkoa unayempelekea mashtaka hayo amber ruty asingemfikia kwa ufirauni hata tone.Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile.
Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni model wao.
Kwa tukio hili tu ni haki walimu kumwagiwa mchanga,kurushiwa mayai viza n.k ni shule ya kipuuzi sana. Wazazi wanapaswa wakutane na mkuu wa shule hii. Ni jambo la aibu mtu huyu kuwa ni model wa wanafunzi hawa.
Mkuu wa Mkoa angalia matatizo mawili ya shule hii.
1. Tatizo la kukosa fensi
2. Tatizo la kumwalika ambaruti
View attachment 1909206
Haaaaa Haaaaa 😂 jamaniyani kila mnapomzungumzia amberruty ni kama mnanihamasisha kutifua tope na mnanifanya nidindishe.
Bushmamy, uscheke unazidi kunihamasisha au unataka nije pm.Haaaaa Haaaaa í ½í¸ jamani
Binadamu yupi ambaye hajawahi kukosea??
Yaani mnataka Ambaruti asishiriki chochote katika jamii??
Wote wana video za pilau.Tofauti zao huoni kweli!!!?