Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

Hakuna tatizo lolote hapo, acheni ujinga na ushamba, dunia imebadilika na sisi tubadilike kulingana na matakwa ya kidunia.
Identity yake kubwa hapo ni ile inshu ya kwa mpalange,nadhani aliwasisimua watoto na baadhi ya walimu kuangalia video tena.
 
Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile.

Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni model wao.

Kwa tukio hili tu ni haki walimu kumwagiwa mchanga,kurushiwa mayai viza n.k ni shule ya kipuuzi sana. Wazazi wanapaswa wakutane na mkuu wa shule hii. Ni jambo la aibu mtu huyu kuwa ni model wa wanafunzi hawa.

Mkuu wa Mkoa angalia matatizo mawili ya shule hii.

1. Tatizo la kukosa fensi
2. Tatizo la kumwalika ambaruti

View attachment 1909206
Anaambukiza maadili mabovu kwa watoto wakiangalia picha zake za uchi hata kama, ametubu dhambi zake lakini kwenye jamii picha zake zipo. Hata kitumbua kiko waziwazi uzungunization.

Screenshot_20210826-185913.png
 
Mnampinga amber ruty vipi kuhusu Dc Msando na ile video yake na Gigy mapesa
 
Kwani si alishatumikia kifungo Jamani na kashajirekebisha?
 
Binadamu yupi ambaye hajawahi kukosea??

Yaani mnataka Ambaruti asishiriki chochote katika jamii??
Mbona kashashiriki ile mechi kombe uwanjani. Ila aisee Kuna binadamu Wana mambo yaani harufu ya kujamba tu vile Sasa kuyachimba kabisa Hali inakuaje?
 
Watu wengine wanakomenti hapa waonekane watakatifu, ila ndiyo mabingwa wa kutatuliwa/kutatua
 
Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile.

Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni model wao.

Kwa tukio hili tu ni haki walimu kumwagiwa mchanga,kurushiwa mayai viza n.k ni shule ya kipuuzi sana. Wazazi wanapaswa wakutane na mkuu wa shule hii. Ni jambo la aibu mtu huyu kuwa ni model wa wanafunzi hawa.

Mkuu wa Mkoa angalia matatizo mawili ya shule hii.

1. Tatizo la kukosa fensi
2. Tatizo la kumwalika ambaruti

View attachment 1909206😋😋😋
 
Duh n amber ruty ,kazi ipo kubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona Msando amekula uDC wakati ana video akishika papuchi ya Gigymoney?
Walimu wako sawa kabisa,wanaiga mfano toka juu!
 
Naye binadamu, Masadukayo Mafarisayo nyie hamjawahi kukosea? Ni wema siku zote? Au mnataka auliwe?
 
Mbona Gwajima juzi kasema kwani warembo wana shida gani?

mbona msando ni Mkuu wa wilaya?
 
Back
Top Bottom