Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

Na hao ndio tunawategemea watufundishie watoto wetu,pumbavu kabisa
Wewe ni msafi kiasi gani? Au kwa vile uchafu wako unaufanyia gizani na hujaonekana basi walio onekana unawaona wachafu zaidi? Usihukumu usije ukahukumiwa. Yesus voice.
 
Kama ni kweli basi mwalimu ahojiwe kwanini kafanya hivyo.
Mama Samia angewapigia simu hao wasanii (kina Amber) mngemhoji?
Hiki ni kipindi cha mambo ya hovyo tuu hivyo yaacheni yaendelee msitusumbue
 
hivi ile mahakama ya kadhi inaanza lini kutoa hukumu zake hapa nchini?
Mahakama za kadhi ni mahakama za uonevu. Hazitakiwi ziwepo kwa nchi yoyote zenye watu wenye akili.
Tangu lini dini zina mahakama? Mahakama zinatakiwa ziwepo ni zile za serikali tu.
Mimi ukanishitaki kwenye mahakama ya kadhi? Mliokuja kunikamata kama ni 6, watatu lazima twende nao kuzimu.
 
Hakuna tatizo lolote hapo, acheni ujinga na ushamba, dunia imebadilika na sisi tubadilike kulingana na matakwa ya kidunia.
Just imagine kitoto chako kinapga picha ya pongezi au kinapewq cheti cha kumaliza nursery school na umber ruti
 
Ila huyo ni kioo cha jamii kweli kweli.
Kwa watu wa Mbeya ukiwa mafyati utaona ma role model wake.
 
Role Model wa kwanza wa Mwanafunzi ni Mwalimu wake, sasa kama Mwalimu ana_koneksheni na watu wa hovyo, wanaoingiliwa kinyume na maumbile na jamii inajua, unapomualika shuleni tena kwa kuwakusanya wanafunzi wamsikilize inamaanisha nini? Una-sapoti tabia za msanii husika? Kuna kitu umekiona wanafunzi watajifunza toka kwake?

Napata mashaka juu ya uwezo wa kufikiri wa Mkuu wa hiyo shule, kimaadili na kinidhamu haijakaa poa.

Nashauri Afisa Elimu amvue madaraka mara moja.
Kama ni shule ya mwanae, mtoto afukuzwe?
 
Kama ni shule ya mwanae, mtoto afukuzwe?
Ni sawa,ange_solve shida ilompeleka akasepa na sio kupewa jukwaa la kuzungumza/kutambulishwa kwa wanafunzi,Mwalimu Mkuu kachemka hapo...
 
Back
Top Bottom