Kwa vile unaona wamekosea, toa wewe fedha za kujenga hiyo fence.Ni aibu.... Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile
Kama ni kweli basi mwalimu ahojiwe kwanini kafanya hivyo.Ni aibu.... Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile...
Amber Rutty amekuwa mbaya kuliko shetani???? Wakuu Mwenyezi Mungu angekuwa hasamehi na kusahau dhambi zetu, wengi tungeisikia Mbingu tu.Ni aibu.... Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbil....
Mkuu acha hizo yani Ku amberrutiwa nalo unaliona ni kosa LA kawaida kama yalivyo makosa ya bahati mbaya?.Binadamu yupi ambaye hajawahi kukosea??
Yaani mnataka Ambaruti asishiriki chochote katika jamii??
Nyie mashoga ndo mnataka watu wabadilishe maumbile....si sawa.Hakuna tatizo lolote hapo, acheni ujinga na ushamba, dunia imebadilika na sisi tubadilike kulingana na matakwa ya kidunia.
Na wewe una tofauti gani na Amba Ruti?Kwani Umber Ruty anatofauti gani na Gwajima??
Hebu muacheni dada wa watu maisha yaendelee.
Umeona ambaruti anatoa fedha?ππππKwa vile unaona wamekosea, toa wewe fedha za kujenga hiyo fence.
Amandla...
Watoto wanamjua Amba Ruthy Zaidi Kumzidi Jokate Mkuu wa WilayaNi aibu.... Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile.
Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni model wao.
Kwa tukio hili tu ni haki walimu kumwagiwa mchanga,kurushiwa mayai viza n.k ni shule ya kipuuzi sana. Wazazi wanapaswa wakutane na mkuu wa shule hii. Ni jambo la aibu mtu huyu kuwa ni model wa wanafunzi hawa.
Mkuu wa Mkoa angalia matatizo mawili ya shule hii.
1. Tatizo la kukosa fensi
2. Tatizo la kumwalika ambaruti
View attachment 1909206
Na bila shaka katoa mchango wa pesa mkubwa kuliko wazazi wengine!Ambaruti ana mtoto pale ni mzazi