Identity yake kubwa hapo ni ile inshu ya kwa mpalange,nadhani aliwasisimua watoto na baadhi ya walimu kuangalia video tena.Hakuna tatizo lolote hapo, acheni ujinga na ushamba, dunia imebadilika na sisi tubadilike kulingana na matakwa ya kidunia.
Anaambukiza maadili mabovu kwa watoto wakiangalia picha zake za uchi hata kama, ametubu dhambi zake lakini kwenye jamii picha zake zipo. Hata kitumbua kiko waziwazi uzungunization.Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile.
Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni model wao.
Kwa tukio hili tu ni haki walimu kumwagiwa mchanga,kurushiwa mayai viza n.k ni shule ya kipuuzi sana. Wazazi wanapaswa wakutane na mkuu wa shule hii. Ni jambo la aibu mtu huyu kuwa ni model wa wanafunzi hawa.
Mkuu wa Mkoa angalia matatizo mawili ya shule hii.
1. Tatizo la kukosa fensi
2. Tatizo la kumwalika ambaruti
View attachment 1909206
Mbona kashashiriki ile mechi kombe uwanjani. Ila aisee Kuna binadamu Wana mambo yaani harufu ya kujamba tu vile Sasa kuyachimba kabisa Hali inakuaje?Binadamu yupi ambaye hajawahi kukosea??
Yaani mnataka Ambaruti asishiriki chochote katika jamii??
Na askofu wa kanisa la mipasho...Mbona Gwaji boy alisambaza video chafu na ni mtunga sheria...
Wewe uko upande upi mkuu?Watu wengine wanakomenti hapa waonekane watakatifu, ila ndiyo mabingwa wa kutatuliwa/kutatua
Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile.
Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni model wao.
Kwa tukio hili tu ni haki walimu kumwagiwa mchanga,kurushiwa mayai viza n.k ni shule ya kipuuzi sana. Wazazi wanapaswa wakutane na mkuu wa shule hii. Ni jambo la aibu mtu huyu kuwa ni model wa wanafunzi hawa.
Mkuu wa Mkoa angalia matatizo mawili ya shule hii.
1. Tatizo la kukosa fensi
2. Tatizo la kumwalika ambaruti
View attachment 1909206πππ
Hahaha,siri za ofisi hizo mzeeWewe uko upande upi mkuu?