Mkuu wa Mkoa wa California, Davin Newsom, atangaza mgao wa umeme

Mkuu si kwamba wana uhaba bali kuna joto la kufa mtu huki California so wanalazimika kuzima mitambo kufua umeme wakihofia kwamba zile nyaya za kusafirisha umeme zinaweza sababisha moto wa nyika au Wild fire, sasa humu wale tunao shikiwa akili tunazani jamaa wamezidiwa na matumizi
 
California wana Mega what 80,000 hatuwezi wafikia milele, Calfornia ina uchumi mkubwa kulikoa hata France au Uingereza kwa ulaya nazania wanakimbizana na Ujerumani.

Jamaaa wana janga la joto kari mno so wamezima mitambo ya kufua umeme wakihofia milipuko na hatimaye moto wa Polini
Tanzania imesambaza umeme vijijini
 
Haswa kwanza waelewe GDP ya California ni kubwa kuliko GDP ya nchi zote za Africa combined yaani bara zima la africa, pia wajue ina uchumi mkubwa kuliko France au Uingereza
 
Hawa ni wajinga tupu humu, Tatizo Joto lmezidi kiwango na wanalazimila kuzima mitambo isine lipuka, kuna joto la kutisha ambalo halijawahi tokea kwa karine nzima so wanazima mitambo ya kufua umeme
Mkuu wewe ni mgeni hapa JF? waleta mada wengi huwa wanabadili habari au kupindisha mada kwa sababu ya mahaba ya dini au siasa na nyingine wanazozijua wao, Sio wajinga ila wanafanya makusudi
 
Yani wewe ni zaidi ya tahira,sasa kupotosha habari inakusaidia nini.yani mwanaume mzima mwenye umme umekaa kushabikia mwanaume mwenzio aliyetoka kwenye uke kama ww kwa kupotosha habari.pathetic!
 
Kula tano.
Nimeshangaa, TZ inahusishwaje na mambo ya California.
 
Hilo joto ni mwaka huu tu?
 
Mbona kama habari nzito ivyo.. United States
 
California ni mkoa na inaongozwa na mkuu wa mkoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu ya kwanini California wanapata Shedding yani mgao wa umeme bado hazijawekwa wazi wapo wanodai kun joto kali sana ambalo husababisha hot wave ivo kupelekea baadhi ya plant kuzima mitambo yao kuepusha kuikaanga, Ila pia wapo wanaodai kuwa Kuna shortage kwenye Grid ya state ila tu tukumbuke hio mgawo mara ya mwisho kutokea ni mwaka 2001 kama miaka 19 ivi nyuma uko
 
Ni kweli mkuu,record high temperatures have been recorded in the US.It is said up to 54.4°C in California!Wanasema haya ni matokeo ya nuclear testing ambazo zimekuwa zinafanyika Marekani.They say once you carry out a nuclear test,you change the atmosphere and weather patterns permanently,na haya ndio matokeo yake.Fuata link ifuatayo ulione hili.


A wise man once said that wherever nuclear weapons testing took place, the weather patterns will be forever altered. | SOTN: Alternative News, Analysis & Commentary
 
Alaaa kumbe !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…