Mkuu wa Mkoa wa California, Davin Newsom, atangaza mgao wa umeme

blackout.jpg

90

planned-electricity-blackouts-california.jpg

Kutokana na mahitaji kuzidi uwezo wa ugavi, umeme utakuwa ukikatwa muda wowote kuanzia saa tisa alasiri mpaka tatu usiku kwa kupokezana baina ya viunga tofauti tofauti vya mkoa wa California, kwa mujibu wa Mheshimiwa Davin Newsom, Mkuu wa Mkoa.

Bwana Newsom ameziomba kampuni zenye mivyombo mizito ya umeme kama vile meli zilizoegeshwa bandarini kutumia nishati ya generator katika kipindi hiki kigumu kwa Wamarekani wa California.

Nchi mbalimbali duniani zikiwemo Ethiopia na Tanzania zimekuwa mstari wa mbele kufikiria mikakati mipya ya kuzindua vyanzo mbadala vya umeme wa ziada ili kukidhi mahitaji ya uchumi na idadi za watu zinazokua kwa kasi.
Usidanye watu, kutokana na Moto unaendelea kuwaka misitu na Tempreture kupand wameamua kuzima kutokana na safety reasons, soma hio link hapo chini kweny Website yao
PG&E, Pacific Gas and Electric - Gas and power company for California
 
Mkuu sababu ni hiyo kweli?

Ndio, mkubwa, sababu ndio hiyo. Vyanzo vyao vya ugavi wa umeme vimezidiwa, matumizi yamekuwa makubwa mno hususan kipindi hiki cha joto.

Hawakujipanga kuendana na ongezeko la walaji.
 
Ngoja wapinzani waje!!
Ndio, ni mkoa.

Mheshimiwa Gavin Newsom ndio Mkuu wa Mkoa.

Amekasirika kwamba umeme ulikatika bila yeye kupewa taarifa mapema, ghafla ghafla tu, vuuuup!
Sio kila kitu mnakigeuza kuwa propaganda za siasa zenu

Huko Kuna joto Kali, wamezima baadhi ya mitambo na joto pia lika impact importation ya umeme kutoka majimbo mengine, Sasa ndio maana umeme umekuwa mdogo wanatoa kwa mgao

Na California hakuna mkuu wa mkoa, Kuna Gavana ambaye huchaguliwa na wananchi
 
Joto ni kali ndio, mahitaji ya umeme ni makubwa. Kwani hawakujua kwamba joto ni kali?

Kuzima mitambo sio utetezi. Hata TANESCO huwa wanazima mitambo kwa ajili ya ukarabati.

Mkoa wa California umezidiwa na mahitaji ya ugavi wa umeme. Mheshimiwa Gavin Newson amekasirika kwamba umeme umezimwa ghafla bin vuuuup!
 
Sio kila kitu mnakigeuza kuwa propaganda za siasa zenu

Huko Kuna joto Kali, wamezima baadhi ya mitambo na joto pia lika impact importation ya umeme kutoka majimbo mengine, Sasa ndio maana umeme umekuwa mdogo wanatoa kwa mgao

Na California hakuna mkuu wa mkoa, Kuna Gavana ambaye huchaguliwa na wananchi
Hawajazima mitambo imezidiwa hivyo kuzima ghafla na kwa sababu kumekuwa na matumiz makubwa ya ac katika maghorofa mengi ambapo umeme unakwenda sio wa mxhezo na sasa wanapokezana kupata umeme na wameambiwa wasiwashe baadhi ya vitu hasa viwanda kwan matumiz yatakuwa makubwa sana
 
Ndio, ni mkoa.

Mheshimiwa Gavin Newsom ndio Mkuu wa Mkoa.

Amekasirika kwamba umeme ulikatika bila yeye kupewa taarifa mapema, ghafla ghafla tu, vuuuup!
huyo si mkuu wa mkoa. ni gavana. kwanza California sio mkoa ni jimbo (state)
 
Sasa Tanzania na Ethiopia tunaingia vipi mkuu, sisi tunatakiwa tushangae nn imetokea hadi mgao umefika kwani USA in general wa vyanzo vingi vya umeme hadi wa nuclear sasa what happened mleta Mada?
blackout.jpg

90

planned-electricity-blackouts-california.jpg

Kutokana na mahitaji kuzidi uwezo wa ugavi, umeme utakuwa ukikatwa muda wowote kuanzia saa tisa alasiri mpaka tatu usiku kwa kupokezana baina ya viunga tofauti tofauti vya mkoa wa California, kwa mujibu wa Mheshimiwa Davin Newsom, Mkuu wa Mkoa.

Bwana Newsom ameziomba kampuni zenye mivyombo mizito ya umeme kama vile meli zilizoegeshwa bandarini kutumia nishati ya generator katika kipindi hiki kigumu kwa Wamarekani wa California.

Nchi mbalimbali duniani zikiwemo Ethiopia na Tanzania zimekuwa mstari wa mbele kufikiria mikakati mipya ya kuzindua vyanzo mbadala vya umeme wa ziada ili kukidhi mahitaji ya uchumi na idadi za watu zinazokua kwa kasi.
 
Sasa ndio naanza kuelewa kwa nini Tanzania inatawailiwa na vilaza ambao hawajui kwamba Iraq na Libya ni nchi tofauti.

Naanza kujua kwa nini Watanzania wamekuwa chini ya utawala wa hao hao vilaza kwa miaka zaidi ya nusu karne.

Naanza kujua kwa nini Tanzania inayo viongozi vilaza wanaonunua ndege kwa pesa taslimu huku wananchi hawana chakula.

Naanza kujua kwa nini Tanzania wanachagua viongozi wasio na uwezo wala hekima na wanaotamani kuwa viranja wa malaika.

Yeyote anayepitia hii thread atajua sababu mara moja ni kuwa mtaji wa viongozi kama hao ni ujinga uliokithiri nchini.
 
blackout.jpg

90

planned-electricity-blackouts-california.jpg

Kutokana na mahitaji kuzidi uwezo wa ugavi, umeme utakuwa ukikatwa muda wowote kuanzia saa tisa alasiri mpaka tatu usiku kwa kupokezana baina ya viunga tofauti tofauti vya mkoa wa California, kwa mujibu wa Mheshimiwa Davin Newsom, Mkuu wa Mkoa.

Bwana Newsom ameziomba kampuni zenye mivyombo mizito ya umeme kama vile meli zilizoegeshwa bandarini kutumia nishati ya generator katika kipindi hiki kigumu kwa Wamarekani wa California.

Nchi mbalimbali duniani zikiwemo Ethiopia na Tanzania zimekuwa mstari wa mbele kufikiria mikakati mipya ya kuzindua vyanzo mbadala vya umeme wa ziada ili kukidhi mahitaji ya uchumi na idadi za watu zinazokua kwa kasi.
Kajipange tena, Carlifonia haina kampuni moja inayouza umeme kwa state nzima zipo kampuni zaidi ya 9 kila moja ina zone yake. Kwahiyo nenda kasome ulipopata hiyo habari ndio uje tena kwenye bandiko.
 
California wana Mega what 80,000 hatuwezi wafikia milele, Calfornia ina uchumi mkubwa kulikoa hata France au Uingereza kwa ulaya nazania wanakimbizana na Ujerumani.

Jamaaa wana janga la joto kari mno so wamezima mitambo ya kufua umeme wakihofia milipuko na hatimaye moto wa Polini
Carlifonia ndio uchumi wa Marekani.
 
Kajipange tena, Carlifonia haina kampuni moja inayouza umeme kwa state nzima zipo kampuni zaidi ya 9 kila moja ina zone yake. Kwahiyo nenda kasome ulipopata hiyo habari ndio uje tena kwenye bandiko.

Carlifonia ndio wapi ?
 
Sasa Tanzania na Ethiopia tunaingia vipi mkuu, sisi tunatakiwa tushangae nn imetokea hadi mgao umefika kwani USA in general wa vyanzo vingi vya umeme hadi wa nuclear sasa what happened mleta Mada?
Vyanzo vingi si hoja, hata sisi tunavyo:

Kidatu

Kihansi

Kinyerezi One

Kinyerezi Two

Mtera

Nyumba ya Mungu

Hale

Pangani

Songas

Tegeta

Symbion.....

Lakini tumeona havitoshi, tumejipanga tunaongeza vyanzo. California hawakujipanga kulingana na wigo wa walaji.
 
Mkuu si kwamba wana uhaba bali kuna joto la kufa mtu huki California so wanalazimika kuzima mitambo kufua umeme wakihofia kwamba zile nyaya za kusafirisha umeme zinaweza sababisha moto wa nyika au Wild fire, sasa humu wale tunao shikiwa akili tunazani jamaa wamezidiwa na matumizi
Mgao ni mgao tu iwe sababu ya joto au kitu kingine, kwanini hawakuona hilo tatizo la joto mapema? si wangeweza kuzuia kwa kuiwekea mitambo "Cooling System" nzuri za kuipoza.
 
Vyanzo vingi si hoja, hata sisi tunavyo:

Kidatu

Kihansi

Kinyerezi One

Kinyerezi Two

Mtera

Nyumba ya Mungu

Hale

Pangani

Songas

Tegeta

Symbion.....

Lakini tumeona havitoshi, tumejipanga tunaongeza vyanzo. California hawakujipanga kulingana na wigo wa walaji.
Megawatt California 80,000
Toa
megawatt tz 1,500 = baki 78,500[emoji848]
 
Back
Top Bottom