Mkuu wa Mkoa wa California, Davin Newsom, atangaza mgao wa umeme

Mkuu wa Mkoa wa California, Davin Newsom, atangaza mgao wa umeme

OK Basi ziko mbili na mabatini wanajiita california siku nyingi na walikuwa wana timu yao ya mpira wakiita hivyo pia nilikuwa sijui kama na nyegezi ipo
Na mimi hio mabatini sijawahi kuisikia mkuu.

Thnxs boss.
 
Megawatt California 80,000
Toa
megawatt tz 1,500 = baki 78,500[emoji848]
80,00MW ambazo haziwatoshi!

wananunua umeme kutoka mikoa mingine, hawajajipanga sawa sawa

California wana uchumi mkubwa kuliko Afrika nzima, lazima wawe na umeme zaidi ya Tanzania

Tanzania hakuna mgao wa umeme, na linajengwa bwawa ambalo litazalisha ziada

lakini kwa nini mnatokwa mapovu kusikia mgao wa umeme California?
 
Back
Top Bottom