Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Hata Bashite Makonda,hakuwepo?Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Sio lazima tuazimishe kila mwaka, magufuli sio mungu kwamba kila mwaka lazima watu wafike chato kumuabudu,,Hadi viongozi wenzake wamemsusa hii maana yake walimchukia sana kwa vitendo vyake, duniani tunapita tu mtu usijifanye hii dunia ni mali ya Baba yako na ukajiona wewe ndiye bora kuliko wengine.
Umewahi kuiona thread yangu yoyote kuhusu hizo kitu?au ndio umemalili ujinga na unaongozwa na ujinga wako kuhisi kila mtu yupo kama wewe?Sasa kama ni hivyo inajulikana sasa mnaanzisha mathread ya nini humu wewe na chawa mwenzako? JPM siyo wa kwanza kufa na kusahaulika,Kafa malikia ,kafa princess diana na watu wameshasahau.
Umeona kuna sehemu nimesema tuadhimishe kila mwaka! Kwanza mimi si miongoni mwa hao wanaomfanya ndiyo Mungu wao.Sio lazima tuazimishe kila mwaka, magufuli sio mungu kwamba kila mwaka lazima watu wafike chato kumuabudu,,
Mungu anasema usiwe na miungu mingine ila yeye tu,,
Ndo maana utakuta hata wafalme kama wa saudi arabia, wanazikwa kawaida tu na hawataki watu wawe wakienda kuabudu miaka nenda rudi kwenye makaburi yao,
Sio hadi ndugu yako adhurumiwe ndio ujue kua jamaa alikua mdhurumaji.Wewe alikudhurumu nini?
Je una ndugu yeyote aliedhurumiwa na jpm?
Je kipimo cha unyama ni kipi?tueleze kidogo
Kufa au kutokufa kwake kunaondoa mabaya ya Magu?Ndugu kwani wewe ni mtakatifu sana?
au hufi?
Kumuombea marehemu kunafanyika kokote- mimi nimesali kanisani kwetu NamanyereHabari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Nimeipenda hiyo👆😁😁Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Unaweza dhania upo sawa kichwani lakini ki uhalisia una shida kubwa sana.Tatizo hujijui kama una tatizo.Chato panafahamika kuliko kubwabwaja hapa funga safari nenda mpaka kaburini kwake ukamchape viboko kuliko kutupigia makelele hapa na maneno mengi huku ukiwa huna ujasiri huo hata ukiruhusiwa kufanya hivyo.Ndio akome kutesa watanzania bila sababu sasa inamrudia alipo kaburini huko nyoko yule, natamani afufuke tumchape bakora za kutosha kisha afe tena.
Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Umewahi kuiona thread yangu yoyote kuhusu hizo kitu?au ndio umemalili ujinga na unaongozwa na ujinga wako kuhisi kila mtu yupo kama wewe?