Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Good question, chawa mkuu wa Jiwe imekuwaje hakuwepo. Vipi Polepole na Bashiru?Ndugai hakuwepo?
Vipi Musukuma amekosaje hapo!?Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Aisee 🙄Jana RFA mida ya saa nne usiku Wambura Mtani sijui alijichanganyaje akachagua ile nyimbo ya Aslay Bye Magufuli, aisee alivyoitoa fasta na kupotezea nkajikuta nacheka yalisikika maneno We Mwanachato Eh kimya kikatawala na stori za kupotezea.
Ila ile nyimbo Aslay aliimba bhana. Leo naomba RFA waipige baada ya kipindi cha michezo usiku.
Mbona kwa mpendwa wetu mwingine B.W Mkapa hamzungumzi chochote?Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Dotto James hakuwa muongeaji hata ukitafuta clip zake youtube hazifiki hata tano yeye alikuwa anakula pesa kimya kimya.Ngusa Samike simjui sana ila Kalemanj na Dotto James hawakuwa na adabu kabisa enzi za utawala wa Dkt Magufuli, yaani walijiona miungu watu tena hawakuwa binaadamu wa kusikiliza shida za watu.
Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Mungu ambariki RC Martin Shigella na viongozi wengine walioonesha mshikamano na upendo kwa kumbukizi ya mwamba na fimbo chungu kwa majizi ya CCM, CDM, ACT na baadhi ya viongozi serikalini wenye maadili potofu kwa maslahi yao binafsi.Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Acha unafikiHabari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Amen![emoji120]Si mtakatifu na nitakufa najua lakini pamoja na kutokuwa mkamilifu bado sitaweza kuwafanyia binadamu wenzangu unyama wa kuwadhulumu haki zao za asili kama aliofanya magufuli. Mungu ampe adhabu kadiri ya mabaya aliyofanya.
Atake asitake[emoji56][emoji38][emoji38][emoji38]Ndugai hakuwepo?
Nchi hii isikie ina wanafiki acha kabisa akina Ndugai hadi mitaa,na masoko nk yamepewa majina yakeGood question, chawa mkuu wa Jiwe imekuwaje hakuwepo. Vipi Polepole na Bashiru?
Jiwe alikuwa na timu ya machawa, hadi Bashite pia kakausha kwenda kuhani?
Sheikh wa Dar aliyeenguliwa yule aliyedai Jiwe ni zaidi ya Mungu naye hakuwepo? Vipi Musukuma na Gwajima? Hata Covid-19 wanaokula mshahara kwa nguvu zake nao wamesusa?
Acha ubinafsi sisi na ww Wote ni wa-Tz!Wewe alikudhurumu nini?
Je una ndugu yeyote aliedhurumiwa na jpm?
Je kipimo cha unyama ni kipi?tueleze kidogo
Hata hivyo familia yake inashiriki ili kuua soo tu sio kwamba wanapenda.Na bado,Itafikia kipindi hata mkewe naye hatakuwa haendi.
Msukuma mida fulani ya mchana nimemuona hapa Nkome (Geita) akiwa anatafuta sato na sangara.Aisee 🙄
[emoji817][emoji3581]Nchi hii isikie ina wanafiki acha kabisa akina Ndugai hadi mitaa,na masoko nk yamepewa majina yake
Walitakiwa kuwepo wamesepa
Kila Raisi aliyeko madarakani anatakiwa kulijua hilo kuwa machawa si majitu ya kuyaamini sana huangalia tu upepo wa fursa !!!
Wanasema wahenga mwenzio akinyolewa wewe tia maji
Hata Makonda hajaenda?