Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

Wewe huwezi jua wanaume tunaumia kiasi gani baada ya kumpoteza huyu mwamba,wewe si upo hapo unamsubilia tu mmeo ushajipulizia udi umpatie haki yake.
Unfortunately wewe ni wa Biharamulo, mjina hayo hi ya huko.
Pili mama yako si naye anjifukiza kwa wanaume wake?
Take note, mimi naweza kuwa baba yako, muulize mama yako, she knows me by this ID!
 
Je, kama familia waliomba privacy? Serikali na CCM wasingeshindwa kufanya unafiki mdogo.
Mimi nafsi inaniambia familia wameomba privacy katika hili kwa sababu zao maalumu.
 
Hata wasanii waliokua wanapost leo hawajampost kweli dunia hii tenda wema nenda zako

Unfortunately wewe ni wa Biharamulo, mjina hayo hi ya huko.
Pili mama yako si naye anjifukiza kwa wanaume wake?
Take note, mimi naweza kuwa baba yako, muulize mama yako, she knows me by this ID!
Mama wangu ni wa kike ni haki yake,vipi wewe wa kiume ni sawa kwako?
 
Na nyie mnajiendekeza,mtu alishakufa utakaa kuzunguka makaburini ndo unamrudisha?familia yake ikimkumbuka inatosha,eti alikuwepo kiongozi mmoja huyohuyo anatosha bwana.
Pumzika kwa amani JPM
Tuache kukuza mambo madogo,nyie huko mnakowazika ndugu zenu huwa mnaenda kuwaombea kila mwaka?.Narudia familia yake ikimkumbuka inatosha,wao ndo wana stable(strong) bond na marehemu.
 
Wanaoleta mada wengi wao ni wale wenye 'vita' na marehemu.Hapa wanajaribu kuchokonoa tu ili Marehemu anangwe zaidi kama hujawaelewa.
 
Yaani mtu aliyezuia Lissu tusimchangie damu anaombewa Ili iweje?

Yule alikuwa shetani ndani ya mwili wa binadamu

Aongezewe adhabu ya kaburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…