Vp kuhusu Sabaya? Mbona ni kama niliona chozi lake jicho mojaHakuna binadamu mwenye mema matupu asiye na mabaya ni Mwenyezi .Mungu tu
Binadamu yeyote ana mema yake na mabaya yake akiwemo Magufuli na awaye yeyote
Asante wale walioenda wamewakilisha kukumbuka walau yale mema alifanya sababu ana mema yake pia alifanya
Asante kwa huo uwakilishi walau unakumbusha kuwa marehemu Magufuli aliwahi pia kuwa na mema yake ambayo yalifanya watu wanyonge walie mabarabarani jeneza likipita
Wenye nacho hakuna aliyeanguka wala kuzimia wala kuangua kilio kikali wanyonge ndio walianguka na kuzimia kwa maelfu hata kufa kwa kukanyagana kuaga mpendwa wao