Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Unaigawaje nchi ya watu?Mzimu wa M23 ni hatari sana kwa mustakabali wa mashariki ya DRC.
Mzaha mzaha hao jamaa kuna siku wataichukua Goma na kutangaza Taifa linguine katikati ya DRC na Rwanda.
DRC wana resourcea nyingi sana kuanzia Katanga province, kuja huku mashariki mpaka maeneo ya Kisangani yote, wangekaa chini mataifa yote ya Africa na kuangalia uwezekano wa kuigawa hiyo nchi maana imeonekana hata kiutawala imewashinda.
DRC ni mali ya wakongo, vita iishe na ardhi ibakie kwa wakongomani.
Hiyo vita inaweza kuisha ndani ya mwezi mmoja tu ikiwa nchi za Africa kwa umoja wake zikiamua iishe. Tatizo wakuu wa nchi za Afrika wamejaa unafiki.