Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,508
- 5,981
- Thread starter
-
- #61
Jeshi la FARDC lina pia watu kutoka jamii ya watutsi. Unategemea watakaa kimya kuona wenzao wanauliwa? Lazima watoe siri kwa M23 kwa kila kinachopangwa.Hii habari ni kama sijaielewa.Huyu Makonda alienda kuwatembelea wanajeshi wakiwa field au? na je ina maana aliwazukia jamaa akiwa hana ulinz
Wewe ni mjinga.hivi kuna trend huko tiktok za wale kundi la kuluna nn kilitokea had wakawa executed vile? inauma had trump akasema anataka raia wawili wamarekani malanga na mwenzie warudishwe marekani haraka na videos zinaonesja wamerudishwa whats going on??
wewe ndio fala, nimeuliza ni nn kinaendelea ungeniambia ni panya road ungepungukiwa kongosho? mimi nimeona nimeuliza nijue shidaiko wapi? nigga punguza wahkaWewe ni mjinga.
Wale Panya road ulitaka nini kifanyike?
Sorry I overlooked the comment Mkuu.wewe ndio fala, nimeuliza ni nn kinaendelea ungeniambia ni panya road ungepungukiwa kongosho? mimi nimeona nimeuliza nijue shidaiko wapi? nigga punguza wahka
Mkuu we ni majeshi kunoga sana. Aliekudanganya kuwa ukiwa na cheo kikubwa Cha kijeshi kama major general haufi nani?Maj Gen anakufaje kizembe hivyo? Tatizo la Africa vyeo vingi jeshini haviendani na uwezo wa muhsika
WanDRC imejaa wala rushwa hata kuwa na jeshi imara imeshindwa. Wacha ichapike.
Wakianza kuigawa haitakuwa mara 1Mzimu wa M23 ni hatari sana kwa mustakabali wa mashariki ya DRC.
Mzaha mzaha hao jamaa kuna siku wataichukua Goma na kutangaza Taifa linguine katikati ya DRC na Rwanda.
DRC wana resourcea nyingi sana kuanzia Katanga province, kuja huku mashariki mpaka maeneo ya Kisangani yote, wangekaa chini mataifa yote ya Africa na kuangalia uwezekano wa kuigawa hiyo nchi maana imeonekana hata kiutawala imewashinda.
Waasi waishi kama raia wema wakifuata taratibu na sheria za Congo.Na vipi kuhusu uwepo wa hao waasi!? Wenyewe siyo binadamu? Wawnde wapi!?
Kilichowafanya wawe waasi ni nini!? Kabla ya comments uliza au go deep in history. Unadhani hata huo umoja wa mataifa(japo ni wanafiki), hawajui? Tatizo tu ni kwanini wenyewe kwa wenyewe wapigane!? Utagundua kuna mkono wa watu. Mzungu hawezi kukutawala kama hajakugombanisha na mwenzio. Na akiona hana masrahi anakuacha utajua mwenyewe. Haya,baada ya miaka 20, kinachoendelea sasa hivi, wanapaki mabegi yao, mbwa wao na magari yao, kuelekea Entebbe Uganda. Walichokifanya ni nini? Walichokiacha ni nini? Hivi, mbali na Africa, hizo mission za UN kuna nchi nyingine ulizisikia?!Wakianza kuigawa haitakuwa mara 1
Binafsi natofautiana na wazo la kugawanya.
Hawatoishia hapo wakianza kugawanya, yataibuka makundi mengine nayo yatataka kugawana
Waasi waishi kama raia wema wakifuata taratibu na sheria za Congo.
Mzembe kabisa huyu! Sema video nemefuta nengekuonyesha alivyo kuwa anachukuwa video shoot karibu na Sake ya kumtumia Kisekedi kuwa bado wako ndani ya Mji huo.Maj Gen anakufaje kizembe hivyo? Tatizo la Africa vyeo vingi jeshini haviendani na uwezo wa muhsika
Kwahiyo wakigawa Congo ndo amani inahakikishwa?......Find how to co- exit in peace, period.Kilichowafanya wawe waasi ni nini!? Kabla ya comments uliza au go deep in history. Unadhani hata huo umoja wa mataifa(japo ni wanafiki), hawajui? Tatizo tu ni kwanini wenyewe kwa wenyewe wapigane!? Utagundua kuna mkono wa watu. Mzungu hawezi kukutawala kama hajakugombanisha na mwenzio. Na akiona hana masrahi anakuacha utajua mwenyewe. Haya,baada ya miaka 20, kinachoendelea sasa hivi, wanapaki mabegi yao, mbwa wao na magari yao, kuelekea Entebbe Uganda. Walichokifanya ni nini? Walichokiacha ni nini? Hivi, mbali na Africa, hizo mission za UN kuna nchi nyingine ulizisikia?!
Jamani, sijui mtu aongeeje.Kwahiyo wakigawa Congo ndo amani inahakikishwa?......Find how to co- exit in peace, period.
In summary ukiwa Congo heshimu sheria za Congo, na kinyume chake ni sahihi........Jeshi la FARDC lina pia watu kutoka jamii ya watutsi. Unategemea watakaa kimya kuona wenzao wanauliwa? Lazima watoe siri kwa M23 kwa kila kinachopangwa.
Vyanzo vinasema kwamba M23 ilivofika SAKE, iliacha barabara wazi na kusonga mbere wakiwa vichakani, ndipo huyu alikuja akisindikiza jeshi lake. Ina maana walimchora, au pengine kuna mtu aliwatonya. Kuna nyumba moja ilionyeshwa ikisemekana ndo iliyotumika kummiminia risasi. Taarifa nyingine pia,sikasema yawezekana akauliwa na watu wake, japo kwa kinachoongelewa, maiti yake ili ichukuliwe, zililia sana.
Jeshi lina siri na propaganda. Kikubwa tu ni kwamba jeshi la serikali ya DRC halijiwezi,na hapo kuchelewa kote huko ni misaada ya wanajeshi wengine waliokuwepo.
Wakiunawajua watusi kwanza ? huko Rwanda watusi wameua marais wawili wahutu , je nan anamchukia mwenzie ?