Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kbs mkuuTunawataka kama hawa 20 kila mkoa…CCM akili zitawakaa vizuri…
Fita ni fita muraaa 😂😂Mtoa amri analanduka anasukuma mjani sio kwa jicho hilo.
ExactlyWapo sawa. Wananchi ndio walioiweka serikali ifanye kazi kwa niaba yao. Ndio mabosi
Ila kaliamsha kibabe 😂😂Sema mjomba Kama kawaka hivi kimtindo [emoji16][emoji16]
Tena ni hepi, asingekawiaIngekuwa zama zile za giza angeshamuru ocd kamata huyu weka ndani.
Bita ni bita murra! Mpaka uondoke mkoa wa wanaume utakomaa dogo!