Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Bangi lilichemka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Mara. Hao jamaa ni majasiriNdiye huyu huyu alikuwa anawakemea wazee awamu ya 5? Maisha yanaenda kasi sana
Yaani, unajua hawa viongozi wetu wasijihau kuwa ni siku zote ni ' Civil servant' wa wananchi! na si vinginevyo!Ni sawa wananchi ndio mabosi,wanasiasa ni waajiriwa tu wa wananchi
We mkeweAlikushika pa kunyea
Mchune haraka arudi 2025 alitukana wazee wenye chama chaoSasa hapo nini cha ajabu zaidi?
Unamuangalia huyo mwananchi na unatambua rasmi personality yake ina nature ya moshi wa ile kitu na imemuathiri.
Unaona jinsi alivyojichanganya hata anapoulizwa swali?
Jibu lake haliendani na swali zaidi ya kuongea mafumbo ambayo yeye binafsi ndie anayo majibu.
Ila kwa team ROHO MBAYA, na visasi.
Tayari mmepata kick ya kujifariji na kukaa kijiweni.
Haya mengine tunawaona vizuri tu na tunajua mnateseka kumuona mmoja wa wabaya wenu akizidi kuchanja mbuga.
Hapi is HAPPY [emoji4]
Saivi anakemewa yeyeNdiye huyu huyu alikuwa anawakemea wazee awamu ya 5? Maisha yanaenda kasi sana