Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko sawa kabisa ,sio kuwaomba wakati wanaishi kwa Kodi zetu
YesYuko sawa kabisa ,sio kuwaomba wakati wanaishi kwa Kodi zetu
Nina mashaka huyu mwananchi eidha katoka milembe jana,au alikuwa sokoni karume kwenye mshumaa!
Ana uzee gani sasa huyo jamaaHuyo mzee namjua ni mtu wa tungi na hapo alikuwa ameshapiga vitu
Sema mjomba Kama kawaka hivi kimtindo [emoji16][emoji16]
Alikushika pa kunyeaIngekuwa zama zile za giza angeshamuru ocd kamata huyu weka ndani.
Ajipange atang'oka😁😁😁😁Na Bado Ally Happi lazima watakushikisha adabu hao jamaa.
Hapi atakuwa kachakata akili, anajiuliza atakuwa katumwa huyu sio bure.....Ndiye huyu huyu alikuwa anawakemea wazee awamu ya 5? Maisha yanaenda kasi sana
Hahahaaaa huyu jamaa noma sanaaa "siyo ombi ni amri!!"Tunawataka kama hawa 20 kila mkoa…CCM akili zitawakaa vizuri…
😂😂😂