Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Kbs mkuuTunawataka kama hawa 20 kila mkoaβ¦CCM akili zitawakaa vizuriβ¦
Fita ni fita muraaa ππMtoa amri analanduka anasukuma mjani sio kwa jicho hilo.
ExactlyWapo sawa. Wananchi ndio walioiweka serikali ifanye kazi kwa niaba yao. Ndio mabosi
Ila kaliamsha kibabe ππSema mjomba Kama kawaka hivi kimtindo [emoji16][emoji16]
Tena ni hepi, asingekawiaIngekuwa zama zile za giza angeshamuru ocd kamata huyu weka ndani.
Bita ni bita murra! Mpaka uondoke mkoa wa wanaume utakomaa dogo!