raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Pesa za mradi zinaingizwa kwenye acc ya RPC duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lodge au choo cha halmashauri!Hichi ni kituo Cha polisi au lodge?.
Hapo ukute kuanzia chama kimepata mgao na zingine zimepigwa hazinaHuyu mkuu wa mkoa awajibishwe na mamlaka maelezo aliyotoa kuhusu ujenzj wa kituo cha polisi butiama wa TSH milion 802 yana udanganyifu mkubwa. Pesa inayokaribia billion moja inajenga jengo fupi na dogo namna Ile hivi ni lini serikali ya CCM itashughulikia wezi wa pesa za umma. Kwa hiyo ndoo urefu wa kamba upo hivo ! Hivi kweli CCM mnaamini mpo salaama kutafuna. Pesa za umma hamjui watakaowashughulikia watatoka humohumo ndani ya chama? Mnafikri kuendelea kuongoza nchi ni tiketi ya kutoshughulikiwa Mimi nawaambia jidanganyeni.
Jamaa alikuwa makini sana ila hii imemvua nguo , huwezi kutetea wizi kama ule unless na yeye kapewa mgaoHuyu mkuu wa mkoa awajibishwe na mamlaka maelezo aliyotoa kuhusu ujenzj wa kituo cha polisi butiama wa TSH milion 802 yana udanganyifu mkubwa. Pesa inayokaribia billion moja inajenga jengo fupi na dogo namna Ile hivi ni lini serikali ya CCM itashughulikia wezi wa pesa za umma. Kwa hiyo ndoo urefu wa kamba upo hivo ! Hivi kweli CCM mnaamini mpo salaama kutafuna. Pesa za umma hamjui watakaowashughulikia watatoka humohumo ndani ya chama? Mnafikri kuendelea kuongoza nchi ni tiketi ya kutoshughulikiwa Mimi nawaambia jidanganyeni.
MRADI WA KITUO CHA POLISI BUTAMA WA MIL 802.Huyu mkuu wa mkoa awajibishwe na mamlaka maelezo aliyotoa kuhusu ujenzj wa kituo cha polisi butiama wa TSH milion 802 yana udanganyifu mkubwa. Pesa inayokaribia billion moja inajenga jengo fupi na dogo namna Ile hivi ni lini serikali ya CCM itashughulikia wezi wa pesa za umma. Kwa hiyo ndoo urefu wa kamba upo hivo ! Hivi kweli CCM mnaamini mpo salaama kutafuna. Pesa za umma hamjui watakaowashughulikia watatoka humohumo ndani ya chama? Mnafikri kuendelea kuongoza nchi ni tiketi ya kutoshughulikiwa Mimi nawaambia jidanganyeni.
MRADI WA KITUO CHA POLISI BUTAMA WA MIL 802.Jamaa alikuwa makini sana ila hii imemvua nguo , huwezi kutetea wizi kama ule unless na yeye kapewa mgao
Hata tupicha picha twa kinachoongolewa wajameni🤔Kumkosoa Said Mtanda inabidi utafakari sana, uwe detailed na very analytical and specific to issues sequentially.