Tetesi: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ahusishwa na Kutekwa kwa Mdude Nyagali

Hata mimi nimeona taarifa za siri kutoka kwa wazalendo ndani ya jeshi la Polisi Mbeya wakimtuhumu Homera kuwa ndiye mtekaji mkuu wa Mdude. Inaelezwa kuwa Mdude amefichwa kwa kuwa yupo katika hali mbaya. Homera ndiye aliyetuma kikosi kumteka Mdude hilo halina ubishi. Hizi siyo tetesi bali ni taarifa za uhakika kabisa.
 
Mnatuchanganya makamanda, wengine ametekwa na kufichwa, wengine wana za ndani zaidi kauliwa na nyundo na kutupwa katavi, ukweli ni upi wakuu.
 
Mambo hadharani
 
Tambua ufalme ukishafitinika hakuna kifichiana siri, lazima watajane!

Ukisema huo ni upotoshaji maana yake unamfahamu aliyeagiza huo utekaji tofauti na huyu anayesemwa.
Haya eleza hapa
masuala ya kifalme ni ya kusadikika gentleman,
alie amuru sigrada mligo apigwe kipigo cha mbwa koko huenda akawa anahusika mojakwamoja na matukio hayo ya kishenzi, but upotoshaji kama huo ni nonsense kabisa
 
Kwa ule uvujaji wa damu guys kuamini Mdude is safe ni Ndoto za Alinacha, What i know ni Kuwa tayari system ingesha take advantage za Kumvumbua Uko aliko ili ipate Credit ata kama itakuwa na Involvement, Sasa ukisikia ata Polisi nao wanamtafuta Kinafiki basi He has Gone aisee, Inaumiza mno Mno
 
Hahaha unadhani maagizo ya mchengerwa ya wakuu wa mikoa yaani mpaka sasa ni Mkuu wa mkoa wa Dar na Mbeya
Niliposikia hilo tamko nikasema moyoni kwamba wazee wa kaa ndani masaa 24 wamepewa rungu

Na watauwa sana,maana hao wajinga wanajionaga kama marais au wafalme,haka kacheo ka mkuu wa usalama wa mkoa wanakatumiaga vibaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…