Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila astuka , Atengua zuio la kufunga Bar kuzuia Corona

View attachment 1422530

Hapo Jana Mh Chalamila aliweka utaratibu wa wanywaji wa Mbeya , kwa kutoa muda wa hadi saa 3 usiku wawe wamepukutika kwenye mabar , kwa hoja kwamba baada ya muda huo wengi wanakuwa wamelewa kiasi cha kukiuka kinachoitwa Social Distancing ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona .

Lakini katika hali ya kushangaza leo hii amefuta amri hiyo , na kwamba wanywaji waendelee kupiga kilaji mpaka watakapotosheka , ili mradi wachukue tahadhari .

#Tuendelee kunawa mikono kwa maji Tiririka ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona
Wachukue tahadhari ili tupaye kodi
 
Tukiachana na suala la uchumi, RC yupo sahihi kabisa. Sehemu hizo zinahitaji umakini wa hali ya juu na kufunga baa mapema kuna maana kubwa kuliko watu kutokwenda ibadani. Hoja ni kwamba:

1. Ni ngumu mtu akalewa kabla ya saa tatu ,hivyo matukio yote yanayoambatana na kulewa ambayo yanaweza kuwa chanzo Cha Corona hayatokuwepo. Mtu akilewa wengine wanaanguka na kupoteza kumbukumbu kitendo ambacho atahitaji msaada wa kubebwa hivyo Corona ni rahisi kuenea

2. Watu wakilewa wanasahau kabisa juu ya Corona hivyo wataanza kugongesha mikono ,watajishika kila mahali bila tahadhari hivyo hatari ya Corona ni kubwa

Sio lazima watu waende baa kunywa, ili kupunguza muingiliano wa watu , ni vema watu wakanunua ili kunywa nyumbani ili hata likitokea la kutokea ni rahisi kuepuka hatari za Corona
 
Duh Mungu tunakuomba utunusuru na gonjwa hili maana wanadamu wanatoa maagizo na kuyafuta kabla hata masaa 24 kuisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi bar, sijui kwanini waTanzania wengi wanazitazama Kama takataka Fulani.

Bar Ni biashara halali Kama zingine tu, kwahiyo si sahihi kwa Mkuu wa mkoa au kiongozi yeyote kutoa matamko ya kuona kanakwamba Ni biashara ambazo uazifai.

Sekta ya bar, imeajiri watu wengi sana nchi hii, watu ndiyo vitega uchumi vyao, vinatumika kujikimu, wanasomesha, wanalipa kodi mbali mbali.

Dada zetu na Kaka zetu wengi wameajiriwa katika sekta hii. Wanaendesha maisha kupitia sekta hii.

Tunapotoa matamko kuwa wafunge saa tatu, makadrio ya mapato TRA ya mwaka tunawapunguzia pia. Hatuoni tunaharibu ajira za watu, wataishije. Hatuhitaji kufunga bar.

Watu wanaamua wenyewe kwenda bar na siyo vinginevyo.

Tuziache Tuziache Tuziache ziwe wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1422530

Hapo Jana Mh Chalamila aliweka utaratibu wa wanywaji wa Mbeya , kwa kutoa muda wa hadi saa 3 usiku wawe wamepukutika kwenye mabar , kwa hoja kwamba baada ya muda huo wengi wanakuwa wamelewa kiasi cha kukiuka kinachoitwa Social Distancing ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona .

Lakini katika hali ya kushangaza leo hii amefuta amri hiyo , na kwamba wanywaji waendelee kupiga kilaji mpaka watakapotosheka , ili mradi wachukue tahadhari .

#Tuendelee kunawa mikono kwa maji Tiririka ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona
Fitina za kisiasa ambazo hazina maana!
 
I have stayed tuned for some minutes now! Tuwekee vid clip sio sauti za kuchonga. Yawezekana the manner alivyoongea na wewe ilivyoipresent hapa iko tofauti kabisa.
Chanzo ni EA TV mjomba , chalamila mtu asiye na ushawishi wowote Mbeya nimsingizie ili iweje ?
 
Wenyew wanakwambia raha ya vyombo kelele

Back
Top Bottom