Wachukue tahadhari ili tupaye kodiView attachment 1422530
Hapo Jana Mh Chalamila aliweka utaratibu wa wanywaji wa Mbeya , kwa kutoa muda wa hadi saa 3 usiku wawe wamepukutika kwenye mabar , kwa hoja kwamba baada ya muda huo wengi wanakuwa wamelewa kiasi cha kukiuka kinachoitwa Social Distancing ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona .
Lakini katika hali ya kushangaza leo hii amefuta amri hiyo , na kwamba wanywaji waendelee kupiga kilaji mpaka watakapotosheka , ili mradi wachukue tahadhari .
#Tuendelee kunawa mikono kwa maji Tiririka ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona
YawezekanaKapigwa biti,ataua uchumi
Ohooooo!!Najua Jana ndio ilikuwa akili zake ila Leo ni za simu toka Coromije
#254voice
Duh Mungu tunakuomba utunusuru na gonjwa hili maana wanadamu wanatoa maagizo na kuyafuta kabla hata masaa 24 kuishaView attachment 1422530
Hapo Jana Mh Chalamila aliweka utaratibu wa wanywaji wa Mbeya , kwa kutoa muda wa hadi saa 3 usiku wawe wamepukutika kwenye mabar , kwa hoja kwamba baada ya muda huo wengi wanakuwa wamelewa kiasi cha kukiuka kinachoitwa Social Distancing ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona .
Lakini katika hali ya kushangaza leo hii amefuta amri hiyo , na kwamba wanywaji waendelee kupiga kilaji mpaka watakapotosheka , ili mradi wachukue tahadhari .
#Tuendelee kunawa mikono kwa maji Tiririka ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona
Hujaipata bado?naendelea kuisaka mkuu
stay tunedHujaipata bado?
I have stayed tuned for some minutes now! Tuwekee vid clip sio sauti za kuchonga. Yawezekana the manner alivyoongea na wewe ilivyoipresent hapa iko tofauti kabisa.stay tuned
Naskia anawanyoosha kweli kweliHuyu mkuu wa mkoa hamna Kitu kabisa.
Sijui hata walimuwekaje kwenye hii nafasi anatuaibisha tu wana mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Bash kaagiza kila familia ikae kikao kujadili corona,j3 wapeleke mihutasari kwake
Dah!..Watakapopatikana wagonjwa kwenye bar ndio akili itawarudi na Bar zitajifunga zenyewe bila kujua
Kwa sasa endeleeni kukusanya kodi
Siombei hilo ila ndio ukweli
Sent from my iPhone using Tapatalk
Bado hujapata vid mbunge mtarajiwa wa kyela?stay tuned
Fitina za kisiasa ambazo hazina maana!View attachment 1422530
Hapo Jana Mh Chalamila aliweka utaratibu wa wanywaji wa Mbeya , kwa kutoa muda wa hadi saa 3 usiku wawe wamepukutika kwenye mabar , kwa hoja kwamba baada ya muda huo wengi wanakuwa wamelewa kiasi cha kukiuka kinachoitwa Social Distancing ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona .
Lakini katika hali ya kushangaza leo hii amefuta amri hiyo , na kwamba wanywaji waendelee kupiga kilaji mpaka watakapotosheka , ili mradi wachukue tahadhari .
#Tuendelee kunawa mikono kwa maji Tiririka ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona
Chanzo ni EA TV mjomba , chalamila mtu asiye na ushawishi wowote Mbeya nimsingizie ili iweje ?I have stayed tuned for some minutes now! Tuwekee vid clip sio sauti za kuchonga. Yawezekana the manner alivyoongea na wewe ilivyoipresent hapa iko tofauti kabisa.
Tukiachana na suala la uchumi, RC yupo sahihi kabisa. Sehemu hizo zinahitaji umakini wa hali ya juu na kufunga baa mapema kuna maana kubwa kuliko watu kutokwenda ibadani. Hoja ni kwamba:
1. Ni ngumu mtu akalewa kabla ya saa tatu ,hivyo matukio yote yanayoambatana na kulewa ambayo yanaweza kuwa chanzo Cha Corona hayatokuwepo. Mtu akilewa wengine wanaanguka na kupoteza kumbukumbu kitendo ambacho atahitaji msaada wa kubebwa hivyo Corona ni rahisi kuenea
2. Watu wakilewa wanasahau kabisa juu ya Corona hivyo wataanza kugongesha mikono ,watajishika kila mahali bila tahadhari hivyo hatari ya Corona ni kubwa
Sio lazima watu waende baa kunywa, ili kupunguza muingiliano wa watu , ni vema watu wakanunua ili kunywa nyumbani ili hata likitokea la kutokea ni rahisi kuepuka hatari za Corona